Kwa hiyo nao wanashiriki dhambi hii ya mama abduli? Wajue wanamsaliti MagufuliCome back ya timu Magufuli.
Washamba wa mjini akina Nape na January hoi
Na yule kibaka Awadh naye amejipeleka huko....Massai shikilieni hapo hapo mpaka Kizimkazi asemeeeNdugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari kuu inayoendelea kusambaa Nchini kwote kaeni kwa kutulia nitaendelea kuwaleteeni habari zote kutoka katika mkoa wa Mwamba Mwenyewe wa kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda kijana jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara.View attachment 3077170
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas Mwashambwa naona sijui ulishachoka kuweka namba yako ya simu.Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari kuu inayoendelea kusambaa Nchini kwote kaeni kwa kutulia nitaendelea kuwaleteeni habari zote kutoka katika mkoa wa Mwamba Mwenyewe wa kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda kijana jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara.View attachment 3077170
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wameshaiweka kwenye mfumo kila ijumaa anarushiwa makomboLucas Mwashambwa naona sijui ulishachoka kuweka namba yako ya simu.
Lile wowowo limepungua sana maana lilikuwa limejaa kwenye sarawili kama linamwagika vile, litarudi tujamani makonda amepungua sana, sio bure atakuwa anafanya mafungo sana,
Njaa gani watu wana vitambi ??! 😀Kumbe naye kavaa samia kifuani. Njaa hizi kama vile hawatakufa
Mkuu Lucas ni chawa bingwa ndio maana unaona kama sio chawa yani ni brigadier la machawa ila ni mwenetu tuko nae humu hatukani mtu wala nini ingawa anatuudhi na u big chawa wakeCCM wakukumbuke Lucas,unajitoa sana Mkuu!
Mwanzo nilikuwa nakuona chawa tu,ila consistency yako imenifanya niamini kuwa hii kwako ni DEDICATION.
Hawa Watu wanaenda kuzungumza nini huko? Wana lipi hasa na maana Sana au la muhimu sana linalofaa kwenda kuwaeleza Wananchi wa Ngorongoro?Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari kuu inayoendelea kusambaa Nchini kwote kaeni kwa kutulia nitaendelea kuwaleteeni habari zote kutoka katika mkoa wa Mwamba Mwenyewe wa kaskazini Mheshimiwa Paul Makonda kijana jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara.View attachment 3077170
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni masikitiko kwa kweli hawa jamaa wanatupiga mnada bila huruma huku kila kitu tunawapa kuanzia mishahara minono hadi ma v8Sijui Watanganyika tumemkosea nini Mungu!
ARV zinatia sana njaa kama maokoto yapo huwezi kujizuia kula ndiyo maana watu wanasema zinanenepeshaNjaa gani watu wana vitambi ??! 😀
Sijui huwa hawamsikilizagi profesa Janabi ?!!!
Ukweli ni kwamba Samia ndio Rais dhaifu kuliko woote kupata kutokea ktk nchi hii ndio maana inatumika nguvu kubwa mno kumkampenia aendelee kubaki madarakani!.Rais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Tema mate chini🙄Lile sambwanda la Bashite limepungua sana kumbe kweli alikuwa mgonjwa
Wewe ndiye mgonjwa usiyejitambua.Lile sambwanda la Bashite limepungua sana kumbe kweli alikuwa mgonjwa