Hili jambo nimelisikia sana likizungumza tena na wakristo wenyewe nahisi lina ukweli ndani yake,mana enzi za mwinyi na mkwere ndio awamu ambazo watu waliishi kwa raha zaidi.Awamu ijayo itakuwa njema, tuombee tu awe muislam, wao huwa hawabani rizki hadi wanyonge twala
Yaani ndugu yangu acha tu, huyu sasa ndo mungu wa Dalasalamu.INASIKITISHA KWA KWELI.
unajua chochote kuhusu tofauti kati ya human resources na personnel?Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.
Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?
Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.
Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.
Makonda oyeeeeeeeeeee
Hili jambo nimelisikia sana likizungumza tena na wakristo wenyewe nahisi lina ukweli ndani yake,mana enzi za mwinyi na mkwere ndio awamu ambazo watu waliishi kwa raha zaidi.
unajua chochote kuhusu tofauti kati ya human resources na personnel?
unajua chochote juu ya motivation?
unajua chochote juu ya employees engagement?
hahaa kweli"" kila na bii na kitabu chake""baada ya ridhiwani sasa ni zamu ya bashite kutesa
Zama zake nazo zitapita tubaada ya ridhiwani sasa ni zamu ya bashite kutesa
bila shaka" Jingalao ni kaka yako""
mtu "" Mwenye sifa ya kufoji vyeti"unadhani anapaswa kuwa vipi mkuu"?? utendaji wake unaakisi kile ambacho kipo katika fikira zake "" hapo ndio kafanya vizuri na kwa mujibu wa CV yake alistahiki pongezi""....haa hahaWendawazimu ndivyo walivyo! Hakuna sheria yoyote ile nchini ambayo inawazuia wafanyakazi kudai nyongeza ya mishahara. Huyu jamaa ni mpuuzi sana.
nilijiua hujui ndo.mana ukashadadia ya makonda .kwakuwa ni jf. ndo mana hata wenye akili kama zako nao mnaandika msiyoyajua mkidhani mnamkomoa mtu. tofauti yako na huyo BASHITE ni ndogo sana kama ambavyo hatofautiani na wema sepetu.Ha ha haaaaaaaa
Eeeeeeeeh
Eti unauliza nini wewe.. nakucheka.. hapa ni JF.. pokea ulillopokea sepa..
haha haaa kila mtu ana ndevu"" kama ukoo wa kambale ""Watumishi wa umma poleni sana mtapata tabu sana awamu hii ya tano kila mtu ana ndevu kama ukoo wa panya.
Njooni mjiajiri kuna raha sana kujiajiri.
ni zaidi ya cancer mkuuHahhahaaa ccm ni tatizo ..
hatari sana...nchi hii ingekuwa ni mzazi ingeshatoa radhi kwa vizazi vyake " sio kwa ufisadi huu aiiseeNinawashangaa sana WATEULE wa RAIS wakati wao wakijipatia mishahara minono na magri makubwa ya kifahari ya kutembelea,kujiwekeza pesa za wizi ambazo hao wanaotukanwa wanalazimishwa kuzisighn/kuzitayarisha.
Hawa ndiyo walaji wakubwa wa zile 10% za ujenzi wa miundo mbinu,hawa ndiyo wale watafunaji wa mishahara hewa,hawa ndiyo wale wa kivuko hewa na barabara mbovu.Hawa ndiyo wale wa Ndege ya mwaka 1940??
Wakati anatukana wafanyakazi hawa yeye amejilimbikizia magari yaliyotaifishwa kwa wafanyabiashara wakubwa,ana majumba,anakwenda SA kwa kutumia pesa za drug lords,huyu ndiye aliyeteuliwa na mwenye Kebbys Building pale Mwenge.
Hawa ndiyo wanaona walimu waliotumia vyeti vya wenzao ni wezi kupita wao waliopiga Bilioni nane na kivuko hewa.