The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Anajisifu upumbavu!!Kwanini msielekeze hiyo nguvu kuwashughulikia madalali wa korosho
Swali nzuriKwanini msielekeze hiyo nguvu kuwashughulikia madalali wa korosho
Duh,nimesikia kuna minada msimu huu ulioisha korosho iliuzwa hadi tsh 1300/=@kg na hapo bado makato karibu tsh 400/= @kg.
Hali si rafiki, tunakoelekea uzalishaji utashuka.Duh,
Bei ya korosho imeshuka hivyo?!
Hizo vata wanazojisifia wangewapiga hao madalali wa korosho wote wawe machiz ama wafe wanakuja kumrushia mauchawi mtu ambaye hata hahusikiKweli,kwanini hizo nguvu wasizielekeze kutatua matatizo yao
Hili nalo litapita salama..P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.
Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao wamekutumia salamu.
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.
P.Makonda unakumbuka ule moshi ulitoka mikoa gani? P.Makonda rudi kajipange upya ndipo urudi mkoa wa Mtwara.
Umezunguka nchi nzima, umekutana na watwesi lakini uku kwetu tuna makabila machache sana na tuna mamwenye kama hawajaridhika hakuna utakalofanikiwa uku.
NI MIMI
MWENYE:MATULANYA MPUTA
MBUNGE 2025 JIMBO LULINDI (MTWARA)
Email:raomary059@gmail.com
KARIBU TENA MH P.MAKONDA (Nenda kwanza gamboshi ndipo urudi uku twatumia unga tu kupuliza ujumbe waja)
wewe kwa akili zako unadhani makonda ana majibu ya bei za korosho au usaniii tu na kujisafisha yeye mwenyewe kufuatia madudu yake enzi za jiwe?.Sasa si mngesubiri afike mumsikilize..labda kaja na majibu? Mkimzuia njiani ndio mmetatua tatizo?
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Vilaza wengi sana humuwewe kwa akili zako unadhani makonda ana majibu ya bei za korosho au usaniii tu na kujisafisha yeye mwenyewe kufuatia madudu yake enzi za jiwe?.
Ndo ujue uchawi haunaga issueKweli,kwanini hizo nguvu wasizielekeze kutatua matatizo yao
Hao madalali wenyewe wachawi kinoma.kuna dalali huku bagamoyo. Mfuko wa suruali umetuna bongo la hirizi.Kwanini msielekeze hiyo nguvu kuwashughulikia madalali wa korosho
Nani amekuambia sisi watu wa kusini tunataka utajiri?Ndo ujue uchawi haunaga issue
Las sivyo wangekua matajiri
Kwahiyo mazao yanayopatikana huku kwa uwingi kama ufuta,choroko,kunde na mbaazi analima mama yako?Huko mnategemea korosho, kulima na mazao mengine hamuwezi uvivu tu na nyie
Hata bibi yake mkapa alikuwa mchawi mkubwa mno na hilo lipo waziKuna yule bibi wa mtwara aligoma gesi isitoke.[emoji1787][emoji1787].ndo maana mzee mkapa alipakimbia huko kwenu uchawi mwingi