alumelunda
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 753
- 918
Salama peMwemwejo buli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama peMwemwejo buli
Serious??Sisi tuna akili timamu kwasababu ndio watu wa kwanza kustaarabika sasa iweje tumsikilize na kumuwekea matumaini huyo hanithi ambaye tuna mashaka hata govi hajakatwa? Wazee wa pwani wana matata mno nakumbuka utawala wa kikwete alikuja waziri mmoja anaitwa Jenister muhagama alikuja kutuliza hali fulani hivi kwa kutumia katata ya eti nae ni mtu wa kusini,kabla hajaanza kuhutubia alisimama mtu mmoja na kumuuliza kuwa tangu lini mwanamke wa kusini anasimama mbele ya wanaume wakati ana mimba tumboni? Halafu kwanini yupo uchi mbele ya wanaume? Na huyo aliemtuma kwanini kawadharau hivi kwanini asije mwenyewe mpaka awaletee mwanamke? Mama alipaniki sana na hana hamu tena
Kuna mtu wa kusini kawahi kutamba?
P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.
Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao wamekutumia salamu.
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.
P.Makonda unakumbuka ule moshi ulitoka mikoa gani? P.Makonda rudi kajipange upya ndipo urudi mkoa wa Mtwara.
Umezunguka nchi nzima, umekutana na watwesi lakini uku kwetu tuna makabila machache sana na tuna mamwenye kama hawajaridhika hakuna utakalofanikiwa uku.
NI MIMI
MWENYE:MATULANYA MPUTA
MBUNGE 2025 JIMBO LULINDI (MTWARA)
Email:raomary059@gmail.com
KARIBU TENA MH P.MAKONDA (Nenda kwanza gamboshi ndipo urudi uku twatumia unga tu kupuliza ujumbe waja)
awaponye waende wapi?P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.
Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao wamekutumia salamu.
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.
P.Makonda unakumbuka ule moshi ulitoka mikoa gani? P.Makonda rudi kajipange upya ndipo urudi mkoa wa Mtwara.
Umezunguka nchi nzima, umekutana na watwesi lakini uku kwetu tuna makabila machache sana na tuna mamwenye kama hawajaridhika hakuna utakalofanikiwa uku.
NI MIMI
MWENYE:MATULANYA MPUTA
MBUNGE 2025 JIMBO LULINDI (MTWARA)
Email:raomary059@gmail.com
KARIBU TENA MH P.MAKONDA (Nenda kwanza gamboshi ndipo urudi uku twatumia unga tu kupuliza ujumbe waja)
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.[emoji419][emoji375]P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.
Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao wamekutumia salamu.
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.
P.Makonda unakumbuka ule moshi ulitoka mikoa gani? P.Makonda rudi kajipange upya ndipo urudi mkoa wa Mtwara.
Umezunguka nchi nzima, umekutana na watwesi lakini uku kwetu tuna makabila machache sana na tuna mamwenye kama hawajaridhika hakuna utakalofanikiwa uku.
NI MIMI
MWENYE:MATULANYA MPUTA
MBUNGE 2025 JIMBO LULINDI (MTWARA)
Email:raomary059@gmail.com
KARIBU TENA MH P.MAKONDA (Nenda kwanza gamboshi ndipo urudi uku twatumia unga tu kupuliza ujumbe waja)
Binafsi sijui Kwa nini naweza vumilia matusi yote lakini mtu akinitukana akaniambia uko kama mtu wa Mtwara na Lindi Hilo tusi siwezi vumilia nitapigana naye Hadi kielewekeSisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Awajibishwe Paulo Makonda:Hiyo mikoa ya kusini ndio maana ipo nyuma kimaendeleo, msimlaumu mtu kwa umaskini wenu wa kifikra na kiuchumi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sawa .na kilichomuua yule jamaa aliyejiita jasusi mbobezi ni nini? Auaye Kwa upanga atakufa Kwa upanga .Huo Ndiyo utaratibu wa kimuungu!!P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.
Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao wamekutumia salamu.
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.
P.Makonda unakumbuka ule moshi ulitoka mikoa gani? P.Makonda rudi kajipange upya ndipo urudi mkoa wa Mtwara.
Umezunguka nchi nzima, umekutana na watwesi lakini uku kwetu tuna makabila machache sana na tuna mamwenye kama hawajaridhika hakuna utakalofanikiwa uku.
NI MIMI
MWENYE:MATULANYA MPUTA
MBUNGE 2025 JIMBO LULINDI (MTWARA)
Email:raomary059@gmail.com
KARIBU TENA MH P.MAKONDA (Nenda kwanza gamboshi ndipo urudi uku twatumia unga tu kupuliza ujumbe waja)
Nakuambia ukweliSerious??
Umejuaje mtoa mada ni mtu wa kusini? Hivi akili munazojisifia ndio hizi?Kumbe mtoa mada anafanya nini hapa Kama sio Tambo?!
Kwan ile ilikua ajali au mipango tu ?Ajali hutokea popote.
Kwan ajali iliyomuua Sokoine ilitokea Mtwara?
Kwa hiyo nyamitako aliyemuua Ben Saanane naye atauwawa kwa njia hiyo hiyo?Sawa .na kilichomuua yule jamaa aliyejiita jasusi mbobezi ni nini? Auaye Kwa upanga atakufa Kwa upanga .Huo Ndiyo utaratibu wa kimuungu!!
Manyara wana utajiri ganiWatokea Kaskazini mkoa upi mkuu tulinganishe namaneno yako?