Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

Wame niangusha Sana ingebidi wamle kichwa kabisa
 
KJ tunaendelea kuorodhesha madhambi yake.

Hajui hii awamu haikupigiwa kura na Wananchi!
 
🤣🤣🤣🎤🔊
 
Ndo maana hamuendelei, mnajisifia ujinga tu. Umwenye(umwinyi) ndo unafanya mkae kimasikini namna hiyo. Achaneni ni imani za kishirikina
 
Sasa si mngesubiri afike mumsikilize..labda kaja na majibu? Mkimzuia njiani ndio mmetatua tatizo?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Sisi tuna akili timamu kwasababu ndio watu wa kwanza kustaarabika sasa iweje tumsikilize na kumuwekea matumaini huyo hanithi ambaye tuna mashaka hata govi hajakatwa? Wazee wa pwani wana matata mno nakumbuka utawala wa kikwete alikuja waziri mmoja anaitwa Jenister muhagama alikuja kutuliza hali fulani hivi kwa kutumia katata ya eti nae ni mtu wa kusini,kabla hajaanza kuhutubia alisimama mtu mmoja na kumuuliza kuwa tangu lini mwanamke wa kusini anasimama mbele ya wanaume wakati ana mimba tumboni? Halafu kwanini yupo uchi mbele ya wanaume? Na huyo aliemtuma kwanini kawadharau hivi kwanini asije mwenyewe mpaka awaletee mwanamke? Mama alipaniki sana na hana hamu tena
 
Sasa Kuna faida gani yahuo ujinga kama unashindwa kuwatatulia kero zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…