Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

Serious??
 
Punguzeni Shiriki,Mtakua mnapitwa na mambo mazuri.
 
Wachawi WA kusini Wana ujinga flani hivi. Wao uchawi ndio fahari Yao Wala hawataki mambo mengi.!
 
🤣🤣

Upuuzi mtupu! Mtwara mnamambo ya ajabu Sana badala ya kunyoosha hao mawaziri na wafanyabiashara wanao wapiga mnataka mumunyakue makonda aisee nyie watu wa hatari sana.
JPM mlimpiga Moshi huyu ajali msilalamike viongozi wasipokuja huko kuwaona maana inaonekana mpo upande ule kwenye mapigano
 
awaponye waende wapi?
 
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi watu wa Mtwara tuna utamaduni wetu pamoja na watu wa Lindi machozi yetu ,ambayo yamesababishwa na chama cha Mapinduzi hayajaisha.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sijui Kwa nini naweza vumilia matusi yote lakini mtu akinitukana akaniambia uko kama mtu wa Mtwara na Lindi Hilo tusi siwezi vumilia nitapigana naye Hadi kieleweke
 
Sawa .na kilichomuua yule jamaa aliyejiita jasusi mbobezi ni nini? Auaye Kwa upanga atakufa Kwa upanga .Huo Ndiyo utaratibu wa kimuungu!!
 
Mtwara ingekua zaidi ya Mwanza kimaendeleo kama kusingekuwa na uchawi...

Uchawi si jambo la kujisifia...

Uchawi ilikua kinga ya mwafrika...

Sasa inatumika vibaya.
 
Sawa .na kilichomuua yule jamaa aliyejiita jasusi mbobezi ni nini? Auaye Kwa upanga atakufa Kwa upanga .Huo Ndiyo utaratibu wa kimuungu!!
Kwa hiyo nyamitako aliyemuua Ben Saanane naye atauwawa kwa njia hiyo hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…