Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?


Kwa ufupi hii ni zamu ya zenji kutesa ofisini na bila kupepesa macho nyie wa bara sasa kila asubuhi bebeni mkasi mpite mulemule kama wenzenu walivyofanya
 
Makonda vinaiva sana na rais mpya.
Kwa hio tutegemee kuwa disappointed anytime
 
mizengo Pinda, wapigwe tu hahahahahha
 

Yan hao wasukuma wote wasipewe nafasi sbabu n washamba wa madaraka wakachunge Ng'ombe
 
Jiulize Bashite alipenyaje hadi akafikia kwenye pick ilihali elimu yake ni ya kuunga unga? Nina hakika BAshite shuleni hakua mzuri sana but kichwani anajua sana kucheza na fursa, tusubiri tuone. Msiba sijui
 
Mama Samia si tuliambiwa wako vzr na Makonda?
Mkuu wapo kama jina lako lilivyo!! Ila tuachane na hilo, nampenda sana uyo jamaa uliemueka kwenye profile picture!!
Napenda siasa zake,jamaa aliendesha li Nchi likubwa akiwa bwana mdogo sana, licha ya changamoto ya umri, kinachonipa hamu ya kufahamu mengi, aliwezaje kuendesha Nchi ile kwa umri ule na ukatulia?!! Nina hamu ya kujua mengi, heshima kwake.
 
makonda alidhulumu na kuwaonea watu wengi sana, dhambi hii aliifanya kwa vitisho na ubabe mkubwa sana. Tuatarajie wale wote waliofanyiwa dhambi hii wakiinuka na kutaka/kudai haki zao.
musiba (domo kaya) alitumika kuchafua watu wengi sana na kuonyesha dharau na kebehi kubwa, ni wakati sasa nae kuwa ktk kipindi cha malipizi na moto mkali hadi atamani ardhi ipasuke immeze.
 
Umenena vyema sana 😀
 
Waliomwegemea wanaweza wasiguswe lakini hawataweza kugusa walichozoea kugusa. Watazikana nafsi zao bila kukanwa
 
Asiogope kutekeleza kile anachoamini ni sahihi adiogope lawama za masalia. Ayaponye majeraha yote bila woga.
 
Kwahio uliona ameweza kutuliza nchi kipindi chake sio?

Kweli kila mtu ana akili zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…