vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
Mi nashauri Mh. Samia amtafute makamu wake ambaye ni mchumi mmbobezi ambaye amtamsaidia kuurudisha uchumi kwenye mstari, lakini mtu mwenye ufahamu wa diplomasia vizuri itamsaidia pia kuurudisha mahusiano na nchi marafiki na mwisho mtu walau mwenye uzoefu wa shughuli za serikali.
Possible candidates include former CAG, former Katibu mkuu kiiongozi Sefue,
Proffesor Mkenda, Mizengo Linda.
Mheshimiwa aepuke kutea makada ambao wanaweka chama mbele na sio taifa
Kwa ufupi hii ni zamu ya zenji kutesa ofisini na bila kupepesa macho nyie wa bara sasa kila asubuhi bebeni mkasi mpite mulemule kama wenzenu walivyofanya