Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

Baba I celebrate your life nenda kipenzi changu...Africa akisimama msema kwl mmoja hupigwa mawe, walikupiga mawe mengi mzee wangu uliyakwepa why uondoke katikati ya vita, kwanini umeenda mzee? Your legacy is here wakujengee sanamu likae makumbusho kipenz changu mzee wangu...
 
Bashite atakua kajinyea, msiba atakua kakimbilia mafichoni huko serengeti
Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere.

Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho bila sababu ya msingi kana kwamba hakuwa binadamu wa kawaida. Hata hivyo, wakati tukiomboleza, kuna watu saa hizi hawamuombolezi kwa vile wanampenda bali maisha yao yatakuwa hatarini tokana na kujipendekeza kwao wakidhani wangefanikiwa kumtumia.

Ndoto ya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi pia imo mashakani. Si vizuri kuongelea urithi wakati hata marehemu hajazikwa. Hata hivyo, urais si mali binafsi, lazima tuanze kufikiri mbele.

Wakati tukifanya hivyo, kuna watu watajuta kuzaliwa na wengine hasa mafisadi waliofichwa mahabusu wanasherehekea na wale waliosaidiwa wanasaga meno. Kati ya hao Daudi Bashite aka Makonda na Msiba Musiba watakuwa na hali ngumu.

Haya ni mawazo yangu kama baba yenu.

RIP JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. YOU INDEED WAS OPEN AND TRUSTWORTHY FOR YOUR NATION AND PEOPLE.
 
Magonda bado ana opportunity sababu Samia ni mshikaji wake sana.
 
Wabongo bana, hivi unadhani mama Samia atabadilisha chochote? Tegemeeni vurugu nyingi zaidi, afadhali Magu alikuwa anawadhibiti hao MATAGA, Kwa huyu mama ndio watakuja na nguvu like never before.

Kingine miradi, msitegemee kuna mradi utalala, yote hii itaendelezwa, Magufuli alikuwa mjanja sana, mwisho huyu mama ulikuwa humwambii kitu kwa Magu, utegemee tofauti? Thubutu, yaani Ikulu Dodoma isimalizwe?? Utaniambia ni muda tu..
 
Wanyang'anywe paspoti zao
Uzuri hawakubaliki popote so tunao humuhumu mpaka kiama
musiba makonda wenye nchi 'wamehamu' kuirudisha nchi kwa wenyewe
Mama Samia mahakama fumua yote tuko na mashtaka ya hawa wabunge wote kesi za uchaguzi waliokwapua pesa za walipa kodi wafilisiwe polisi ndio kabisaaaa wafunzwe adabu
Tutaanza na bashite musiba warundy muachie nchi ya wenyewe
 
Juzi Bashite alisema Watanzania wanapenda UMBEYA, kumbe si umbeya.

Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere.

Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho bila sababu ya msingi kana kwamba hakuwa binadamu wa kawaida. Hata hivyo, wakati tukiomboleza, kuna watu saa hizi hawamuombolezi kwa vile wanampenda bali maisha yao yatakuwa hatarini tokana na kujipendekeza kwao wakidhani wangefanikiwa kumtumia.

Ndoto ya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi pia imo mashakani. Si vizuri kuongelea urithi wakati hata marehemu hajazikwa. Hata hivyo, urais si mali binafsi, lazima tuanze kufikiri mbele.

Wakati tukifanya hivyo, kuna watu watajuta kuzaliwa na wengine hasa mafisadi waliofichwa mahabusu wanasherehekea na wale waliosaidiwa wanasaga meno. Kati ya hao Daudi Bashite aka Makonda na Msiba Musiba watakuwa na hali ngumu.

Haya ni mawazo yangu kama baba yenu.

RIP JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. YOU INDEED WAS OPEN AND TRUSTWORTHY FOR YOUR NATION AND PEOPLE.
 
Baba I celebrate your life nenda kipenzi changu...Africa akisimama msema kwl mmoja hupigwa mawe,walikupiga mawe mengi mzee wangu uliyakwepa why uondoke katikati ya vita kwnn umeenda mzee? Your legacy is here wakujengee sanamu likae makumbusho kipenz changu mzee wangu...
Sanamu itabomolewa trust me aliumiza wengi.
 
Nawaonea huruma hawa wafuatao
1. Covid-19
2. CCM wakuja- eg Polepole, Bashiru, Kabudi, Kitila, Ndalichako, Silinde, Waitara, etc

Maana wanaccm wenye chama chao hawatarudia kosa. Ngoja azikwe Magu kwanza.
Watagawana mbao
 
Baba I celebrate your life nenda kipenzi changu...Africa akisimama msema kwl mmoja hupigwa mawe,walikupiga mawe mengi mzee wangu uliyakwepa why uondoke katikati ya vita kwnn umeenda mzee? Your legacy is here wakujengee sanamu likae makumbusho kipenz changu mzee wangu...
Hilo sanamu liwekwe Chattle huko...

Wengine hatuabudu masanamu...
 
Back
Top Bottom