Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

Hizo zote ni takataka
 
Kwa mila na desturi zetu marehemu hasemwi vibaya mkuu.
 
Ole Sabaya nimepata tetesi kumhusu
 
Ni kweli hayo ni mawazo yako - swali ni, je, kwa nini baadhi yenu mko obsessed na hatma ya Makonda - kawafanyieni kosa gani, mbona mnamfuata fuata na kujaribu kumwaribia sifa kila kona - looking back now naona kinacho wasukuma ni wivu tu, sioni kitu kingine zaidi ya hicho.
 
Kwa mila na desturi zetu marehemu hasemwi vibaya mkuu.
Kuna mila na desturi tunatakiwa kiziacha kwenye hizi zama... mfano kukeketa.... SASA HII YA KUMSIFIA JAMBAZI WAKATI HANA HIZO SIFA NAYO NI YA KUOACHA

Tunatakiwa tu kusema maisha yake yalikuwaje... kama yalikuwa mema, basi tuseme mema yake na likewise, kama yalikuwa fifty fifty nayo tuseme kama yalivyo...
 
Umeongea ukweli, shida ni kwamba watanzania wengi wamekua "brain washed" hata uwaambie vipi hawawezi elewa, watakuona Kama fisadi au mpinzani
 
Makonda anaweza kupata nafasi nyingine unlike Musiba kwa kuwa mama amemsemea vizuri na kuonyesha moyo wa shukrani kwake akiwa kwenye bunge la Katiba.

Japo kwa kweli katika uongozi wake Makonda aliendekeza ubabe, chuki, fitina, uzandiki, majivuno, kujikweza, kutaka kiti Cha juu kupita vimo vya mawinguni na kufanana na aliye juu.

Mama si mtu wa hivyo.

Akiyaacha hayo aweza kuwa kiongozi mzuri na wa mfano mwema.

Musiba asihangaike, kazi yake imeishia hapo.
 
Ambacho hamkifahamu ni kwamba Bashite na Mteule Mama Rais wa nchi ni maswahiba kuliko alivyokuwa na mzee baba wa Chattle hivyo tegemeeni kurudi kwake kwa kishindo, tupo hapa mtakuja kutukumbusha
 
Lile gari ulilo mdhulumu yule Mwarabu Makonda rudisha
Sabaya zile pesa ulizo pora siku unavamia hoteli tunazitaka
Makonda kuna ghorofa anajenga kapri point na Uhuru hapa mza itabidi afuatiliwe mapato TRA kipato chake mpaka akajenga hayo majengo. Salary ya rc ni 6M na DC ni 3M so tuangalie kama ameshapata hizo billions za kujenga ghorofa pia na mapato take yako sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…