Tena huyu ni mshenzi sanaMpaka chalamila wa mbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huyu ni mshenzi sanaMpaka chalamila wa mbeya
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yakeKifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere.
Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho bila sababu ya msingi kana kwamba hakuwa binadamu wa kawaida. Hata hivyo, wakati tukiomboleza, kuna watu saa hizi hawamuombolezi kwa vile wanampenda bali maisha yao yatakuwa hatarini tokana na kujipendekeza kwao wakidhani wangefanikiwa kumtumia.
Ndoto ya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi pia imo mashakani. Si vizuri kuongelea urithi wakati hata marehemu hajazikwa. Hata hivyo, urais si mali binafsi, lazima tuanze kufikiri mbele.
Wakati tukifanya hivyo, kuna watu watajuta kuzaliwa na wengine hasa mafisadi waliofichwa mahabusu wanasherehekea na wale waliosaidiwa wanasaga meno. Kati ya hao Daudi Bashite aka Makonda na Msiba Musiba watakuwa na hali ngumu.
Haya ni mawazo yangu kama baba yenu.
RIP JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. YOU INDEED WAS OPEN AND TRUSTWORTHY FOR YOUR NATION AND PEOPLE.
Sipati picha kina Doto Biseko, wataendelea kushika pesa na tanzanite tena.Yaani mturudishe kule kule kwenye Usukuma?
Aaamen[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake
R.I.P Mr president, you were / will always be a greatest Son of this land, after few years with your absence people will understand that you were sensible and visionaryKifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere.
Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho bila sababu ya msingi kana kwamba hakuwa binadamu wa kawaida. Hata hivyo, wakati tukiomboleza, kuna watu saa hizi hawamuombolezi kwa vile wanampenda bali maisha yao yatakuwa hatarini tokana na kujipendekeza kwao wakidhani wangefanikiwa kumtumia.
Ndoto ya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi pia imo mashakani. Si vizuri kuongelea urithi wakati hata marehemu hajazikwa. Hata hivyo, urais si mali binafsi, lazima tuanze kufikiri mbele.
Wakati tukifanya hivyo, kuna watu watajuta kuzaliwa na wengine hasa mafisadi waliofichwa mahabusu wanasherehekea na wale waliosaidiwa wanasaga meno. Kati ya hao Daudi Bashite aka Makonda na Msiba Musiba watakuwa na hali ngumu.
Haya ni mawazo yangu kama baba yenu.
RIP JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. YOU INDEED WAS OPEN AND TRUSTWORTHY FOR YOUR NATION AND PEOPLE.
Wajinga wajinga makonda pumbavu kabisa musiba tahaira kesi zao mahakamani zianze upyaKifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere.
Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho bila sababu ya msingi kana kwamba hakuwa binadamu wa kawaida. Hata hivyo, wakati tukiomboleza, kuna watu saa hizi hawamuombolezi kwa vile wanampenda bali maisha yao yatakuwa hatarini tokana na kujipendekeza kwao wakidhani wangefanikiwa kumtumia.
Ndoto ya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi pia imo mashakani. Si vizuri kuongelea urithi wakati hata marehemu hajazikwa. Hata hivyo, urais si mali binafsi, lazima tuanze kufikiri mbele.
Wakati tukifanya hivyo, kuna watu watajuta kuzaliwa na wengine hasa mafisadi waliofichwa mahabusu wanasherehekea na wale waliosaidiwa wanasaga meno. Kati ya hao Daudi Bashite aka Makonda na Msiba Musiba watakuwa na hali ngumu.
Haya ni mawazo yangu kama baba yenu.
RIP JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. YOU INDEED WAS OPEN AND TRUSTWORTHY FOR YOUR NATION AND PEOPLE.
Makonda na Mama Samia dam dam tena anaenda kuchukua uteuzi mapema tu, time will tellKifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere.
Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho bila sababu ya msingi kana kwamba hakuwa binadamu wa kawaida. Hata hivyo, wakati tukiomboleza, kuna watu saa hizi hawamuombolezi kwa vile wanampenda bali maisha yao yatakuwa hatarini tokana na kujipendekeza kwao wakidhani wangefanikiwa kumtumia.
Ndoto ya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi pia imo mashakani. Si vizuri kuongelea urithi wakati hata marehemu hajazikwa. Hata hivyo, urais si mali binafsi, lazima tuanze kufikiri mbele.
Wakati tukifanya hivyo, kuna watu watajuta kuzaliwa na wengine hasa mafisadi waliofichwa mahabusu wanasherehekea na wale waliosaidiwa wanasaga meno. Kati ya hao Daudi Bashite aka Makonda na Msiba Musiba watakuwa na hali ngumu.
Haya ni mawazo yangu kama baba yenu.
RIP JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. YOU INDEED WAS OPEN AND TRUSTWORTHY FOR YOUR NATION AND PEOPLE.
Hutaamini kitakachotokea.Wabongo bana,hivi unadhani mama samia atabadilisha chochote?,tegemeeni vurugu nyingi zaidi,afadhali magu alikuwa anawadhibiti hao MATAGA,Kwa huyu mama ndio watakuja na nguvu like never before
Kingine miradi ,msitegemee kuna mradi utalala,yote hii itaendelezwa,magufuli alikuwa mjanja sana,mwisho huyu mama ulikuwa humwambii kitu kwa magu,utegemee tofauti?,thubutu,yaani ikulu Dodoma isimalizwe??,utaniambia ni muda tu..
Unaona Mama Samia ni mjinga sana??? Unafahamu miongoni mwa watu walioacha Rais Magufuli kuchukiwa ni pamoja na Bashite sasa Samia atakubali vipi kubeba gunia la misumari kichwani?Makonda na Mama samia dam dama tena anaenda kuchukua uteuzi mapema tu, time will tell
Muda utaongeaUnaona Mama Samia ni mjinga sana??? Unafahamu miongoni mwa watu walioacha Rais Magufuli kuchukiwa ni pamoja na Bashite sasa Samia atakubali vip kubeba gunia la misumari kichwani?
Msimdanganye Bashite, na kama huyo mama atasikiliza ujinga na akamrudisha Bashite basi ajiandae kuaibika
Hakuna cha Muda kwa Bashite labda asubiri ajipiganie mwenyewe 2025Muda utaongea
ThanksAaamen[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sure
Mashekhe wa Uamsho wameomba '"kitezo"' cha kuchomea ubani ili wamshukuru Mungu