Makonda: Nataka tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe mabadiliko

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko"

Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
 
Hao wadada wanaojichekesha hapo pembeni yake nimewaelewa ila yeye sijamuelewa, samahani ni Chizi moja imeikwapua simu ya mwenye simu
 
Mpumbav..
Aende koromije akamrishe wanaUKOO wake suala hilo..
Kiazi mbatata
 
Trh 24 washenga msikae mbali mabinti wa Arusha watakua na ugeni kwa hio kikao lazima
 
Trh 24 washenga msituangushe mabinti wa Arusha watakua na ugeni Posa zinaletwa trh 24 kikao cha kupokea posa wajomba msikae mbali
 
Wakuu

Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko"

Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
View attachment 3173048
Arusha sasa watapangiwa hadi ratiba ya tendo la ndoa, ili familia waongeze muda wa utaftaji pesa
 
Kuna watu wamepata uongozi kwa vile tu wamekuwa chawa waliokubuhu na kuwapelekea waganga wa kienyeji wenye mamlaka.
Ipo siku atawapangia wanandoa siku ya kukulana!
Naona kile kilevi kinaitwa madaraka kimemzidi nguvu.
 
Wakuu

Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko"

Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
View attachment 3173048
Hallucinations...!!!!
 
Nimependa sana hii speech ya Makonda maana mpaka hivi sasa atakuwa ameshakaliwa vikao vichache na atafuatiliwa mpaka rangi ya poop kila ahsubuhi itatolewa taarifa.

Tumeupokea wito wake waMABAFILIKO. Na hayakwepeki.

Hatuwezi kuendelea na CCM
 
Back
Top Bottom