Wamelipia..Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makoda ni kundi moja na Kigaila hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inatoa wapi?
Kulipia kuamrisha watumishi wa umma waache kazi zao waandamane na makonda?Wamelipia..
Watu wanapita nae hivi muda si mrefuFuture president yaani
Sidhanii hata hapa alipo wakati ule kuja watu walidhania ndio imekula kwakeWatu wanapita nae hivi muda si mrefu
Sawa! Subiri uchaguzi uieshe utanielewaSidhanii hata hapa alipo wakati ule kuja watu walidhania ndio imekula kwake
Anayo ya fanya sio kwa bahati mbaya yaani
Mjiandae tu presidar naibu presi dae au PM
Sawa acha tuoneSawa! Subiri uchaguzi uieshe utanielewa
Nchi hii tutasikia mengi na kuona mengi ya ajabu ajabu !!Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Yaani ni mambo ya ajabuNchi hii tutasikia mengi na kuona mengi ya ajabu ajabu !!
Anataka kujilinganisha na wakubwa !
Naona ameanza kuyapima maji kwa miguu !!
Ngoja Tusubiri tuone !
Hapo basi mfumo na kitengo utakuwa umejaa watumishi wengi wenye taaluma na majina ya kugushi. Yaani kila mtu anatambua uhalisia wa DAB kuwa ndiye PCM aliyegushi vyeti vya taaluma.Future president yaani
NCHI YA HOVYO SANA KUNA SIKU MWENYEKITI WA MTAA ATAPIGIWA MIZINGA 21Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Nchi ya kiboya hiiHabari wadau

HeheeeeeeBasi mfumo na kitengo utakuwa umejaa watumishi wengi wenye taaluma na majina ya kugushi. Yaani kila mtu anatambua uhalisia wa DAB ndiye PCM aliyegushi vyeti vya taaluma.
Sasa huyu ndiye ambaye kundi la baadhi ya vilaza linampigia upatu kuwa ni "presidential material"!? Hapo hakuna kitu, pengine ni kwa kundi la wajinga kutaka kujenga himaya yao ya wajinga na vilaza kuitwaa dola kupitia CCM.
Empty case!