Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

Yaan vitu unavyopambana navyo havina maana !!

Hatuna umeme
Hatuna maji
maisha magumu
mfumuko wa bei
uharifu umeongezeka

Unakuja kutuambia habar za makonda ss !! Hebu jishikirie
Ambacho hukijui, sheria za utawala bora zikibakwa ina maana hata hayo unayoyataja hayawezekani!

Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria ..na zinapokiukwa usitegemee utapata huduma bora! Umeme utakatwa hovyo hovyo, maji n.k
 
Nchi zilizoendelea huwezi kusikia uku manino wa namna hii.
Katibu wa chama cha siasa kuwaendesha watumishi na serikali yake
 
Halafu ajabu msomi wa sheria kabisa na mwandishi wa habari anapongeza!
Unajiuliza kule kijijini mwananchi wa kawaida itakuwaje!
Na hilo ndilo kundi lenye nguvu ya kutoa kiongozi!
Je taifa tutasonga kweli au tutakuwa kama wagalatia
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Utakufa kwa pressure ya kujitakia, mshaambiwa huyo ni mpakwa mafuta.

Enyi watu mlioharibiwa na chanjo ya Johnson Johnson Mbona ni wagumu kuelewa-ngombe (ng'omne)!
 
Huyo ndie Mkaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. Hivyo ni sawa kabisa nami nilimpongeza na kumshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Mkuu kazi ya itikadi,uenezi na mafunzo inaingiliana vipi na ukaguzi wa shughuli za maendeleo ya nchi?

Nafasi hii ni kukisemea chama na kupiga propaganda ili kueneza itikadi na kupata wanachama wapya.

Katibu mkuu wa chama ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za chama na hizo unazosema za kukagua miradi ya maendeleo iliyofanywa na serikali kupitia chama tawala.
 
Chadema Wana wivu wa kijinga sana
Tatizo ukiwa ccm unaondolewa ubongo unabakiwa makamasi ili usiwe na uwezo wa kufanya reasoning badala yake ni kupongeza tu kila kifanywacho na watawala.

Kuwa mwanachama wa ccm hakukuondolei sifa ya kuhoji na kupingana na kile unachoona hakiendi kwa mujibu wa sheria na taratibu.
 
Mkuu kazi ya itikadi,uenezi na mafunzo inaingiliana vipi na ukaguzi wa shughuli za maendeleo ya nchi?

Nafasi hii ni kukisemea chama na kupiga propaganda ili kueneza itikadi na kupata wanachama wapya.

Katibu mkuu wa chama ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za chama na hizo unazosema za kukagua miradi ya maendeleo iliyofanywa na serikali kupitia chama tawala.
Katafute job description ya Mwenezi!.
P
 
Sidhanii hata hapa alipo wakati ule kuja watu walidhania ndio imekula kwake
Anayo ya fanya sio kwa bahati mbaya yaani
Mjiandae tu presidar naibu presi dae au PM
Hiyo ya katikati ndo tumeshampangia!

Biteko hajakidhi kiu, huyo dogo atatusaidia sana briest zone!
 
Kulipia kuamrisha watumishi wa umma waache kazi zao waandamane na makonda?
Watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu wasiojitambua. Mm hunipelekeshi ati kwenye mwenge sijui anakuja mpuuzi gani ah wapii
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Unajua maana ya chama dola(state party)!!!
 
Ccm imekosa dira na inakufa kifo kibaya sana moja ya sababu ni hii, kila mtu hujifanya kambale , kwamba msafara ambao anatakiwa kuwa nao Ris ,Waziri mkuu , makam au naibu waziri mkuu , sasa ndo unawakuta viongozi wa ccm wakiwa nao , ASENTE MUNGU KWA KIFUTILIA MBALI CHAMA ICHI
 
Kulipia kuamrisha watumishi wa umma waache kazi zao waandamane na makonda?
Ukiwa una pepa la national necta wanakufata nyumban kwako au unaenda mahali wanapokupimia yan center? Ukiwa unaumwa dr anakufata nyumbanau unaend hospital ini?
 
Nchi zilizoendelea hukuti ujinga huu, viongozi wa chama tawala huwarekebisha walioko madarasani katika vikao vya ndani Tena Kwa staha.
Shangaa mawaziri wanahojiwa mitaani kamavile wao wamewasahau wananchi na hawawezi kutoka taarifa. Kimsingi chama kinaiumbua serikali sema nchi ya wajinga watu wanashangilia Kila utumbo!!
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Anaambatana na viongozi wa serikali kama RC, DC na Wakurugenzi
 
Back
Top Bottom