Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Anatakiwa ubalozini pale UsaBado hamjasema...[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatakiwa ubalozini pale UsaBado hamjasema...[emoji1]
Ambacho hukijui, sheria za utawala bora zikibakwa ina maana hata hayo unayoyataja hayawezekani!Yaan vitu unavyopambana navyo havina maana !!
Hatuna umeme
Hatuna maji
maisha magumu
mfumuko wa bei
uharifu umeongezeka
Unakuja kutuambia habar za makonda ss !! Hebu jishikirie
Halafu ajabu msomi wa sheria kabisa na mwandishi wa habari anapongeza!Nchi zilizoendelea huwezi kusikia uku manino wa namna hii.
Katibu wa chama cha siasa kuwaendesha watumishi na serikali yake
Utakufa kwa pressure ya kujitakia, mshaambiwa huyo ni mpakwa mafuta.Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Mkuu kazi ya itikadi,uenezi na mafunzo inaingiliana vipi na ukaguzi wa shughuli za maendeleo ya nchi?Huyo ndie Mkaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. Hivyo ni sawa kabisa nami nilimpongeza na kumshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Tatizo ukiwa ccm unaondolewa ubongo unabakiwa makamasi ili usiwe na uwezo wa kufanya reasoning badala yake ni kupongeza tu kila kifanywacho na watawala.Chadema Wana wivu wa kijinga sana
Katafute job description ya Mwenezi!.Mkuu kazi ya itikadi,uenezi na mafunzo inaingiliana vipi na ukaguzi wa shughuli za maendeleo ya nchi?
Nafasi hii ni kukisemea chama na kupiga propaganda ili kueneza itikadi na kupata wanachama wapya.
Katibu mkuu wa chama ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za chama na hizo unazosema za kukagua miradi ya maendeleo iliyofanywa na serikali kupitia chama tawala.
Hiyo ya katikati ndo tumeshampangia!Sidhanii hata hapa alipo wakati ule kuja watu walidhania ndio imekula kwake
Anayo ya fanya sio kwa bahati mbaya yaani
Mjiandae tu presidar naibu presi dae au PM
Watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu wasiojitambua. Mm hunipelekeshi ati kwenye mwenge sijui anakuja mpuuzi gani ah wapiiKulipia kuamrisha watumishi wa umma waache kazi zao waandamane na makonda?
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?[emoji419][emoji375]Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Unajua maana ya chama dola(state party)!!!Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Ccm imekosa dira na inakufa kifo kibaya sana moja ya sababu ni hii, kila mtu hujifanya kambale , kwamba msafara ambao anatakiwa kuwa nao Ris ,Waziri mkuu , makam au naibu waziri mkuu , sasa ndo unawakuta viongozi wa ccm wakiwa nao , ASENTE MUNGU KWA KIFUTILIA MBALI CHAMA ICHIHabari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Ukiwa una pepa la national necta wanakufata nyumban kwako au unaenda mahali wanapokupimia yan center? Ukiwa unaumwa dr anakufata nyumbanau unaend hospital ini?Kulipia kuamrisha watumishi wa umma waache kazi zao waandamane na makonda?
Anaambatana na viongozi wa serikali kama RC, DC na WakurugenziHabari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
nipaka waseme.Bado hamjasema...😄
Rais paul makondaFuture president yaani