Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

Jibu hoja, kama wewe ndiye .Makonda ama kimada wake
Sexless Ni lini utampeleka makonda mahakamani?

Maana naona unachuki na hasira naye isiyoisha, kile siku ni nyuzi za makonda juu ya malalamiko tu yasiyo na msingi

Yaani unataka mtu aliyekunyang'anya kipande cha aridhi ndo awe wakwanza kukupeleka mahakani siyo?

Unataka kusema, anayekuibia mkeo ndo akupeleke mahakamani?? Jinga kabisa wewe!

Zimo au kichwa chako ni cha kubebea nywele na ubongo uliooza?
 
Kabla hujafanya jambo unafikiria mambo mengi. Ikiwemo muda, athari, matokeo na sababu za kulifanya.

Kama ya kale yamepita, rais ametaka tukubaliane kuanza upya na akakuteua kudhihirisha huna shida na mtu tena kuna haja gani kwenda mahakamani?
 
KAMA NI MUOVU KWA NINI HAO WASIENDE KUMSHTAKI MAHAKAMANI? MIMI ZAMANI NILIKUWA NAAMINI NI MUOVU BAAADAYE NIKAWA NAJIULIZA MBONA HASHTAKIWI???????????????? HAWA WATU WANASEMA ALIWAKOSEA MBONA HAWAMSHTAKI????????????????????? SIJAPATA MAJIBU MPAKA SASA
 
Makonda hawezi kumshtaki yeyote wala kukanusha maana kufanya hivyo itakuwa ni kuanika ushetani wake wote ujulikane kwa wote, hata kwa wale ambao walikuwa hawajui.
 
Una rekodi ya kusoma kwake chuo cha ushirika?
 
Unaufahamu ukuu na heshima ya serikali ya Marekani duniani? Sasa unaifananishaje hii serikali kubwa kabisa duniani na tumbili Makonda? Hii pilitoni tumbili) ndiyo iende mahakamani
 
Makonda hawezi kumshtaki yeyote wala kukanusha maana kufanya hivyo itakuwa ni kuanika ushetani wake wote ujulikane kwa wote, hata kwa wale ambao walikuwa hawajui.
Sawa kabisa mkuu. Ndiyo maana anaishia kulialia tu makanisani na misikitini
 
Mtu wa kufeli hata mtihani wa kidato cha 4, eti naye ana high IQ. Makonda kwa vyovyote vile, IQ yake ni below average. Kipimo cha kwanza cha IQ ni uwezo wa kufundishika. Na sote tunajua kuwa Makonda ni dull, hafundishiki.
 
Katika mafisadi ya nchi hii, wachagga ni wepi? Walifisadi kwenye miradi/idara zipi? Richmond, epa, migodiya kiwira, geshi, bandari, halmashauri au wapi?
ni mengi yamejificha ni masterminded corrupt yamefilisi NBC yakiongozaa na Mengi
 
Mtu wa kufeli hata mtihani wa kidato cha 4, eti naye ana high IQ. Makonda kwa vyovyote vile, IQ yake ni below average. Kipimo cha kwanza cha IQ ni uwezo wa kufundishika. Na sote tunajua kuwa Makonda ni dull, hafundishiki.
Aliyexfeli ni Lema, Sugu, Mnyika, Mbowe na Msigwa hawa woote ni vilaza FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…