Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

Unaufahamu ukuu na heshima ya serikali ya Marekani duniani? Sasa unaifananishaje hii serikali kubwa kabisa duniani na tumbili Makonda? Hii pilitoni tumbili) ndiyo iende mahakamani
Marekani ni alama ya mashetani wa Dunia kwao Israel kuua ni Sawa ila Palestina kujihami dhidi ya mauaji ni kosa Marekani agent wa shetani hawezi kuambatqnq na watu wema kama Makonda
 
Wapuuzi dawa yao ni kuwapuuza tu utashitaki wangapi?

Kalemani mwenyewe hajawahi hata kuzungumzia huo ujinga!

Nyie mtapiga kelele wee usiku mtalala huku jamaa kwa sasa akitembelea LC 300!
 
Mtu wa kufeli hata mtihani wa kidato cha 4, eti naye ana high IQ. Makonda kwa vyovyote vile, IQ yake ni below average. Kipimo cha kwanza cha IQ ni uwezo wa kufundishika. Na sote tunajua kuwa Makonda ni dull, hafundishiki.
Mpashe vidonge vyake huyo. Ndiyo maana nikamjibu kuwa "mtu anayeweza kumuona Makonda ana IQ kubwa ni yeye mwenyewe Makonda ama kimada wake". Makonda ni debe tupu. Na utupu wa debe la Makonda hujidhihirisha kwenye kauli zake, haziko calculated.
 
Ni kweli, jamaa ana tuhuma nyingi, kuna moja kwamba Ben 8 alipokataa kuomba msamaha kwa kuhoji udaktari wa Jiwe - jamaa alimchapa kibao na Ben akamtemea koozi machoni... hapo hapo jamaa akaamuru aingizwe kwenye chumba cha chatu wenye njaa kali.

Hizi tuhuma ni vizuri akazijibu - ajIsafishe iwe nje ana ndani ya Mahakama.

Katibu Mwenezi wa chama tawala hatakiwi kuwa na chembe ya tuhuma za mauaji na udhalilishaji kama hizi.
 
Makonda hawezi kumshtaki yeyote wala kukanusha maana kufanya hivyo itakuwa ni kuanika ushetani wake wote ujulikane kwa wote, hata kwa wale ambao walikuwa hawajui.
Nyie mikundu wa kichaga mtapambana sana hamtaweza!
 
Ni kweli, jamaa ana tuhuma nyingi, kuna moja kwamba Ben 8 alipokataa kuomba msamaha kwa kuhoji udaktari wa Jiwe - jamaa alimchapa kibao na Ben akamtemea koozi machoni... hapo hapo jamaa akaamuru aingizwe kwenye chumba cha chatu wenye njaa kali.

Hizi tuhuma ni vizuri akazijibu - ajIsafishe iwe nje ana ndani ya Mahakama.

Katibu Mwenezi wa chama tawala hatakiwi kuwa na chembe ya tuhuma za mauaji na udhalilishaji kama hizi.
Huyu Makonda na makalio yake hayo makubwa anajiona kama yeye ndiye yeye. I swear ipo siku haya maovu yatamrudia tu na atalipa gharama.

Yupo Mungu wetu wa mbinguni asikiaye kilimo chetu.
 
Mapovu haya yameletwa kwenu kwa udhamini wa mkeraji mkuu wa kambi ile ndugu Paulo Makonda
 
Wivu ni kitu kibaya sana, tena ule wivu wa hadharani

Hatahivyo hizi ni kelele za chura tu.

Kazi tu, na ziendelee.
 
Haki imetendeka? Tatizo mnataka mshinde tu hata msipostahili
Hatuhitaji kushinda kwa upendeleo, ila sio kwa upuuzi wa kwenye mahakama zetu. Na yote hayo ni mahakama kukubali kugeuzwa toilet paper ya ccm.
 
Wao Wanajua Makonda watu wote hawampendi! Mapimbi kweli hawa!
Hakuna mtu yeyote yule anayeleta mabadiliko yanayoonekana na kupimika akapendwa.
Kwamba Makonda hapendwi na watu wote sio kweli, ila hao "mapimbi" ndio wanachokifanya. Kujenga nadhari kwamba hapendeki kwa sababu hizo zilizoainishwa juu, kwamba ni muovu ati alishawahi kuteka, alishawahi kuua n.k Wakati hakuna hata chembe ya Ukweli.

CloudsMedia kurusha hiyo video kwa masaa matatu ndio nini, kwamba ukiona kitu kimerushwa kwenye t.v masaa matatu, basi ndio ushahidi kwamba tunachokiona ni uhalifu? Nope
Nani anayekumbuka masaa yaliyotumika kuonyesha kile Wamarekani walichokiita WMD ndani ya Iraq? Walituonyesha mabomba ya maji na birika za mahabara za mashuleni na kutuaminisha kuna Weapons of Mass Destruction , sio hivyo tu na hata U.N wakaenda na mipicha mipicha mule kumbe yote yale ni gelesha toto. ...Walichokuwa wanakitaka ni mafuta na kulipiza kisasi, kinyongo cha baba na mwana na vita waliyoshindwa awali na ndio unachokiona hapa.

tiendelee...

Kwamba kuzuiwa kwenda Marekani basi mtu ndio akawa ni muovo wa biblical proportion, Nope. Kutumia inchi kubwa kama Marekani kama ndio sehemu ya authority ya haya anayoyasema ni dhahiri hamna hoja yenye mashiko hapa. Tena ni kuwaburuza hawa kwenye siasa za majitope tu.

ijulikane sexless hajawahi kuleta uzi ambao haupindishi ukweli, nyuzi zake nyingi zimejaa nusu ukweli tu akipambwa na wengine wanaorudia maneno yale yale ambayo tumeyaona kwa miaka karibia 7... na lengo lao ni moja tu, kuwapinga na kuwachafua wote wanaopiga vita Ufisadi, Ujambazi, Utekaji na Uporaji wa maliasili na rasilimali za Nchi yetu.
 
hili ni lichaga lenye wivu na wasukuma
 
Back
Top Bottom