Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Porojo hozi, labda Dua tu za watu.
Samahani britanicca kumbe taarifa yako ilikuwa ya ukweliMgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema, kipindi ambacho alipotea akiwa Mkuu wa Mkoa na kuanza kutafutwa, ukweli ni kwamba alikuwa anaumwa na alilishwa sumu.
View attachment 3477079
Huyu asingesoma angekuwa kigagula au ngariba kukeketa watoto wa wenzake, sura ngumu kama ya Lucas Mwashambwa cc ephen_Mbona hajasema alivamia ofisi ya watu 4 usikuView attachment 3477081
Ukiuwa kwa upanga na wewe utauliwa kwa upanga.Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema, kipindi ambacho alipotea akiwa Mkuu wa Mkoa na kuanza kutafutwa, ukweli ni kwamba alikuwa anaumwa na alilishwa sumu.
Uongo huo. Huyu jamaa mwongo sana.Daaaa hatari sana