britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
UlinitukanaSamahani britanicca kumbe taarifa yako ilikuwa ya ukweli
UlinitukanaSamahani britanicca kumbe taarifa yako ilikuwa ya ukweli
🍷Waliomponda britanicca kwa hii taarifa mjikusanye tuwapopoe 😂😂
Alitakiwa atubu dhambi ya kuwanyima watu haki ya kuishi🐼Kwa hiyo anatafuta huruma, au! Alishawahi kufikiria ni watu wangapi na yeye amewalisha sumu/ amewaumiza kupitia uhalifu aliowafanyia?
Rostam azizi na gsmMgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani.
Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo Njiro - Arusha, akisema si mara yake ya kwanza kulishwa sumu na kwamba amenusurika kifo mara kadhaa.
"Kuna kipindi nilipotea nikaanza kutafutwa, na wengine mlinitafuta kwa nguvu kubwa huyu yuko wapi. Ukweli nilikuwa naumwa, nililishwa sumu, Yasingekuwa maombi ya Watanzania na Mungu kumuinua Rais Samia Suluhu Hassan kusimamia matibabu yangu nilitakiwe nife mwaka jana," amesema Makonda.
Soma >> Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Ungekufa, lingekuwa jambo jema kama mlivyotaka kumuua Lissu. Bado, utakufa tu hata kabla ya kufaidi hayo madaraka unayotaka kudhulumu na wenzako. Jiulize Magufuli yuko wapi aliyedhulumu mwaka 2020?Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani.
Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo Njiro - Arusha, akisema si mara yake ya kwanza kulishwa sumu na kwamba amenusurika kifo mara kadhaa.
"Kuna kipindi nilipotea nikaanza kutafutwa, na wengine mlinitafuta kwa nguvu kubwa huyu yuko wapi. Ukweli nilikuwa naumwa, nililishwa sumu, Yasingekuwa maombi ya Watanzania na Mungu kumuinua Rais Samia Suluhu Hassan kusimamia matibabu yangu nilitakiwe nife mwaka jana," amesema Makonda.
Soma >> Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Toa huyo kiumbe mbaya kama nyumaaa tafadhaliMbona hajasema alivamia ofisi ya watu 4 usikuView attachment 3477081
Ndiyo maana nineanza na neno "samahani", kisha nikaku tag. Sikukaa kimya. Hiyo ndiyo kiungwanaUlinitukana
Msiwe mnatukana watu wanazo taarifa hukoNdiyo maana nineanza na neno "samahani", kisha nikaku tag. Sikukaa kimya. Hiyo ndiyo kiungwana
So what? Unataka kumtisha nani? Yuko wapi magu? Kumbaff kabisa wewe chawa na kunguni kupe na kiroboto kabisaMsiwe mnatukana watu wanazo taarifa huko
😂Ni hatari sanaKila siku analishwa sumu
Huyo aliyemuwekea sumu diluted alaaaniwe sana. Ila iko Siku Bashite atakufua kifo kibaya sana. Tuombe uzimaMgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani.
Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo Njiro - Arusha, akisema si mara yake ya kwanza kulishwa sumu na kwamba amenusurika kifo mara kadhaa.
"Kuna kipindi nilipotea nikaanza kutafutwa, na wengine mlinitafuta kwa nguvu kubwa huyu yuko wapi. Ukweli nilikuwa naumwa, nililishwa sumu, Yasingekuwa maombi ya Watanzania na Mungu kumuinua Rais Samia Suluhu Hassan kusimamia matibabu yangu nilitakiwe nife mwaka jana," amesema Makonda.
Soma >> Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
We call it Mirror Neurone effectsWanasiasa ,matajiri mnabidi muwe makini sana kwenye harakati zenu ,usile wala kunywa kitu chochote tofauti na kwako,mambo ya kushikashika vitu ovyo ni hatari ,jarcarhire si mmemuona hakalii kiti tofauti na chake hata akienda sehemu yeyote anaena nacho ,anajua michezo.
Clip ya "Azizi Ki" aka ROMASTAMINA akizindua kiwanda chake cha ngozi inatafakarisha ,ukiiangalia kwenye jicho la kijasusi utagundua siku ile ndiyo mchezo ulimalizwa....Nature ya binaadamu tuna tabia ya kuiga mambo automatically na ndiyo maana mkitembea mwenzako akashikwa na haja ndogo akaenda road pembeni kukojoa na wewe automatically utahisi mkojo.....Ukiangalia Clip ya "Azizi Ki" wakati anaongea mbele ya JIWE muda mwingi alikuwa anaongea huku anajikuna pua alikuwa anafanya vile ili kumuinduce JIWE ile hali na yeye ajikune na mchezo ukaishia siku ile.