Hii kauli ina ukakasi sana..."..CCM hawaachiani maji mezani.." - J. Kikwete
Watu walimbishia britanicca hapaduh!!!! Amina alipona
Mbunge ajaye
Kazi aendeleze
ILa watu mkasema muongo ila mi niliaminiSamahani britanicca kumbe taarifa yako ilikuwa ya ukweli
This is very true, leo ndo nimejua kuwa na yeye alimkaribisha wenzue huduma ya safina wamepopolewa kumbe na yeye walewalehuduma nyingi zinaenda kuanguka sababu ya siasa au kuwa include wana siasa
Huyo aliyeweka hiyo sumu ni mzembe sana hili nyamitako lilitakiwa liwe Jehannam saa hiziMgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani.
Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo Njiro - Arusha, akisema si mara yake ya kwanza kulishwa sumu na kwamba amenusurika kifo mara kadhaa.
"Kuna kipindi nilipotea nikaanza kutafutwa, na wengine mlinitafuta kwa nguvu kubwa huyu yuko wapi. Ukweli nilikuwa naumwa, nililishwa sumu, Yasingekuwa maombi ya Watanzania na Mungu kumuinua Rais Samia Suluhu Hassan kusimamia matibabu yangu nilitakiwe nife mwaka jana," amesema Makonda.
Soma >> Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
yeah, naukumbuka huo uzi.Watu walimbishia britanicca hapa
Kina nini tena huko
Nikimkumbuka kiongozi wa madereva roho inaniuma sana.Kwa hiyo anatafuta huruma, au! Alishawahi kufikiria ni watu wangapi na yeye amewalisha sumu/ amewaumiza kupitia uhalifu aliowafanyia?