GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ingawa hatumujui aliempa sumu lakini simulaumu
Nyie wanamtandao watu wa ajabu sana mlipa Sumu Makonda, Kijaz, Mangula, Magufuli, Mwakyembe, Tindikali Kubenea, Sumu Mkapa mlolongo ni mrefu. Hongereni!!
 
Makonda anaweza kuongea chochote pia msisahau ilo apate huruma ya wananchi
 
Sasa nimeanza kumuelewa britanicca na Tumia akili
 
Makonda anaweza kuongea chochote pia msisahau ilo apate huruma ya wananchi
Upo sahihi kabisa aseme vipimo vilionyesha amelishwa sumu ya aina gani mboni Job fasta tu akarest
 
Karma is a bitch,
Umeua wangap,
Umesababisha direct or indirect wangp kupoteza maisha.
What's goes around, comes around!!
Binafsi sikusikitikii, unavuna ulichopanda!!
 
Karma is a bitch,
Umeua wangap,
Umesababisha direct or indirect wangp kupoteza maisha.
What's goes around, comes around!!
Binafsi sikusikitikii, unavuna ulichopanda!!
Kuna moja watamkamata tu yaan anaanza kujitangaza sasa itabidi wafanye mixing ambayo hata afanyaje hachomoi labda abadirishe damu mwili mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…