GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu baba muongo alikuwa likizo na tulikutana UAE 🇦🇪 abu dhabi mall
 
Rostam azizi na gsm
 
Ungekufa, lingekuwa jambo jema kama mlivyotaka kumuua Lissu. Bado, utakufa tu hata kabla ya kufaidi hayo madaraka unayotaka kudhulumu na wenzako. Jiulize Magufuli yuko wapi aliyedhulumu mwaka 2020?
 
Wanasiasa ,matajiri mnabidi muwe makini sana kwenye harakati zenu ,usile wala kunywa kitu chochote tofauti na kwako,mambo ya kushikashika vitu ovyo ni hatari ,jarcarhire si mmemuona hakalii kiti tofauti na chake hata akienda sehemu yeyote anaena nacho ,anajua michezo.

Clip ya "Azizi Ki" aka ROMASTAMINA akizindua kiwanda chake cha ngozi inatafakarisha ,ukiiangalia kwenye jicho la kijasusi utagundua siku ile ndiyo mchezo ulimalizwa....Nature ya binaadamu tuna tabia ya kuiga mambo automatically na ndiyo maana mkitembea mwenzako akashikwa na haja ndogo akaenda road pembeni kukojoa na wewe automatically utahisi mkojo.....Ukiangalia Clip ya "Azizi Ki" wakati anaongea mbele ya JIWE muda mwingi alikuwa anaongea huku anajikuna pua alikuwa anafanya vile ili kumuinduce JIWE ile hali na yeye ajikune na mchezo ukaishia siku ile.
 
Huyo aliyemuwekea sumu diluted alaaaniwe sana. Ila iko Siku Bashite atakufua kifo kibaya sana. Tuombe uzima
 
We call it Mirror Neurone effects
 
Unamtajataja Mungu ili kulaghai watu na kujikosha kama vile ni mwema sana lakini siyo kweli hauna wema, historia inakuhumu, uliwahi kutumika kumpiga Mzee Waryoba hadharani alipotuletea katiba mpya ya Watanzania, umetuhumiwa katika matukio kadhaa ya kubambikizia watu makosa makubwa makubwa mfano, ulimtaja Mbowe katika orodha ya wauza madawa ya kulevya, umetumika kuumiza watu wengi sana, umetuhumiwa kuhusika kupigwa risasi kwa Tundu ukiwa kama mratibu wa tukio, Marekani wamekufungia usikanyage katika nchi hiyo sababu ya kukiuka haki za binadamu, ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga, Ipo siku watakumaliza maana wewe ni muovu mwenzao!!!!!
 
Anatafuta huruma za wananchi ilihali anatambulika matendo yake..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…