GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio hivyo mwingine alipigwa risasi akiwa mbunge halali kabisa na sasa yupo mahabusu sababu ya SIASA.
SIASA ni SIASA TU
 
huduma nyingi zinaenda kuanguka sababu ya siasa au kuwa include wana siasa
This is very true, leo ndo nimejua kuwa na yeye alimkaribisha wenzue huduma ya safina wamepopolewa kumbe na yeye walewale
Loo
Bora kuwa rc au ufufuo
 
Huyo aliyeweka hiyo sumu ni mzembe sana hili nyamitako lilitakiwa liwe Jehannam saa hizi
 
Huyu watapita nae tu. Wasidhani ameongoka kwenye mikono ya mafedhuri wenzie.
 
Huyu jamaa ni mpumbavu, alishawahi kufungua jalada polisi na atie ushirikiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…