Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo.
Rais Samia hongera sana, kuna wakati mama anaweza kumwadhibu mtoto wakati huohuo moyo unauma na huo ndio uzazi big up.
Rais Samia hongera sana, kuna wakati mama anaweza kumwadhibu mtoto wakati huohuo moyo unauma na huo ndio uzazi big up.