Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo.

Rais Samia hongera sana, kuna wakati mama anaweza kumwadhibu mtoto wakati huohuo moyo unauma na huo ndio uzazi big up.
nchi ina wapumbavu wengi kweli hii, yaani ulipoteza muda kumwombea mtu ambaye tundu lisu hadi kesho anamtuhumu kumpiga risasi? alikufanyia nini hasa
 
Makonda wa sasa ana nguvu tatu.
1. Nguvu ya Mungu
2. Nguvu ya msamaha wa Mama najua kuna walioko kwenye system ambao wasingependa Makonda aamke tena lakini Mungu aishie hazuiliwi kumwinua amtakaye.
3. Nguvu ya maombi.
Sala za wanaompenda wengi zinatenda kazi na hazizuiliki.
Paulo nakuombea hekima ya Selemani na unyenyekevu wa Ayubu, wakati uie ulikuwa mtoto/kijana uliyetaka kuonekana sasa ni mtu mzima Binti yangu na wajukuu zangu wanakuhitaji zaidi kuliko CCM kashushe mabaga. Tuna mfano mzuri wa Edward Sokoine sikuwahi kuona kiongozi aliyekuwa hamble kama yeye lakini aliyejaa nguvu na hehima ya uongozi, ndio maana Hadi Leo tunamkumbuka.
Mimi nabaki nikimiombea afanye vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom