Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi
Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako kwakudai unaingiza hasara ya mafuta
Hawana akili ya kutambua kuwa kwa kazi zako unazofanya hushindwi kununua lita 5000 za pertol ya hayo magari, uelewa wao ni mdogo na wengi hawajasoma wala hawajafanikiwa kufahamu namna gani maisha ni rahisi kwa mtu anayefanya kazi kwa bidii
Ugumu wa maisha yao unawatuma kukuteta kwa mabaya ambayo wewe huna, baba piga kazi ukichoka waache ili viongozi wasiokuwa waadilifu waendelee kuwanyanyasa watakaoteseka ni wao