Lilikua swala la mda tu nabado ,hahahaToka lini Makonda amekuwa msemaji wa Sa100? Hii nchi haiishiwi vituko...
😂 Alifikiri kabla ya kutamka hivi?Yani hujui jinsia yao ni jinsia gani. Wana uchafu hovyo. Kila siku wanazusha mambo ya kijinga.
Hivi kweli Msigwa alipotelea wapi?🙄Huu ndo ubaya wa kutembea na vibeteni
Yaani unaviweka serikalini kisha vina kudharau, makonda amekua msemaji wa Serikali na Mawaziri.
Good question.Na kuna mjinga anasema wanasema haonekani. Kwani Katiba inasema raisi akifiwa mume asionekane kwa siku ngapi?
Mwajiri akiona mwajiriwa wake haonekani muda mrefu lazima aulize, hata kama alifiwa na mume wake. Kwa hiyo mjinga hapa ni huyo anasema wajinga wanasema raisi haonekani
Acha uongo. Mbona huyo Makonda kasema wawakilishi wake wanamsaidia kufanya hayo majukumu?Rais yuko ofisini anachapa kazi, nyie mlitaka aonekane akizurura mitaani au akiwa na kikapu akienda kariakoo kununua nguruka?
Ebooo, "mukuwe" na adabu nyie madogo!
well done waziri Paulo , unafanya kazi nzuri sana babaWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake.
"Hasa nchi imekuwa na wanasiasa wanao- hovyo kabisa. Yani hujui jinsia yao ni jinsia gani. Wana uchafu hovyo. Kila siku wanazusha mambo ya kijinga. Mheshimiwa Rais amefiwa na mume wake, yupo kwenye majonzi, kuna mjinga huko anaandika "oh, haonekani", "eh, toeni zimebaki siku ngapi". Kweli wewe maisha unayapanga? Wanampangia Rais lini atoke nje, lini asitoke"