Makonda: Rais kafiwa na mume wake kuna mjinga anaandika 'haonekani'. Mnapangia Rais lini atoke nje?

Makonda: Rais kafiwa na mume wake kuna mjinga anaandika 'haonekani'. Mnapangia Rais lini atoke nje?

Mtume muhamad alikua sahihi kwa 1000% mwanamke hafai kupewa cheo cha juu kabisa katika taifa....haya tumevamiwa ghafla na maadui nani atakua amiri jeshi wetu vitani?!..ataendelea kukaa eda kumlilia mumewe?!...
Amiri jeshi mkuu silaha zake ni bastola, kalamu ya kuandikia na kauli yake!
HII NI KARNE YA 21 NA SIO ENZI ZA OTTOMAN EMPIRE!
 
Nimeyakumbuka maneno ya Kassimu aliyosema kama sijayasahu wakati wananchi wako kwenye sintofahamu ya hayati Magufuri kutoonekana kwa muda kumbe anakaribia mauti.
"Mnataka mmwone Rais akiwa anazurura Kariakoo"?
Kwa wenye fikra nyepesi wataanza kufikiria Makonda anatoa code!
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake.

"Hasa nchi imekuwa na wanasiasa wanao- hovyo kabisa. Yani hujui jinsia yao ni jinsia gani. Wana uchafu hovyo. Kila siku wanazusha mambo ya kijinga. Mheshimiwa Rais amefiwa na mume wake, yupo kwenye majonzi, kuna mjinga huko anaandika "oh, haonekani", "eh, toeni zimebaki siku ngapi". Kweli wewe maisha unayapanga? Wanampangia Rais lini atoke nje, lini asitoke"

Huyu Kenge anavyosema kanda ya ziwa alienda kwa kazi maalum na si kama waziri wa michezo ,kwa kauli hii ya samuya yupo Eda means Deo ana act kama Rais na Bashite Makamu wa Rais?
 
Atulize ***

Wanao taka wamwone ni walio mpigia kura kwa asilimia zaidi ya 90%. Ameshindwa kutoka awashukuru kwa kuwa pamoja nae kwenye kipindi cha EDA?
 
Back
Top Bottom