Sijui kwanini ila sijawahi kuamini moja kwa moja chochote unachokisema.Naunga mkono hoja, sisi washauri wa bure, tuliisha mshauri awapuuze tuu hao chura na kelele zao kisimani, aendelee kuteka maji. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
P
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.
"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.
Jambo TV
Msamiati mpya..Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.
"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.
Jambo TV
Una tabia za wamama wa Pwani, kwa vijembe mkuuNaunga mkono hoja, sisi washauri wa bure, tuliisha mshauri awapuuze tuu hao chura na kelele zao kisimani, aendelee kuteka maji. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
P
Mkuu PNaunga mkono hoja, sisi washauri wa bure, tuliisha mshauri awapuuze tuu hao chura na kelele zao kisimani, aendelee kuteka maji. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
P
Ni vyura, waliokuwa wakipiga kelele. Kasema hadharani.Msamiati mpya..
KAMATI KUU YA CCM NI VYURA ISIPOKUWA RAIS?
MATUSI YA MAKONDA YATAJIBIWA
Kama Kuna baadhi walitumia maneno viroboto, chawa, vipi kuhusu chura!?Hii tabia ya kubeba majina mfukoni kwenda nayo kwenye kikao ilishamtokea JK puani....so anawafananisha viongozi wenzake kama vyura na wanayoongea ni upuuzi.
Anamponza mwenyekiti wake kwa kutoa siri za ndani. Hata hivyo alijuaje?Hii tabia ya kubeba majina mfukoni kwenda nayo kwenye kikao ilishamtokea JK puani....so anawafananisha viongozi wenzake kama vyura na wanayoongea ni upuuzi.
Viroboto Chawa na sasa Vyura wanapatikana CCM pekee 😂😂🐼Sasa yeye anaita wenzake chura,. Akiitwa yeye atasema anatukanwa. Bashite hovyo kabisa.
Mmmmggh Watanzania wenzako unawaita vyura?Naunga mkono hoja, sisi washauri wa bure, tuliisha mshauri awapuuze tuu hao chura na kelele zao kisimani, aendelee kuteka maji. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
P
😂😂😂😂Mkuu P
Ebu tutajieni hao vyura waliokuwa wakipiga kelele wakati Magufuli aah noo.. Samia akiingia na jina la makonda mfukoni.
Ana kazi ya kutuliza mzuka wa DPW!!! Watu wanagumia ndani kwa ndani!!!CCM kulikuwa kumepoa sana kwa kweli ila Makonda jembe mji umechangamka na chama kimechangamka
Makonda anarudisha imani ya chama kwa wananchi kwa mtindo wa kusikiliza kero za wananch. ' BIG UP MAKONDA'
Lakini kwa viroboto ilikuwa sawa....mna nini ninyi? Double standard itawamaliza!!!Mmmmggh Watanzania wenzako unawaita vyura?
US haina moral authority ya kukemea masuala ya uvunjaji haki za binadamu!!!Serikali ya Marekani ilikurupuka kumwekea zuio la kuingia US kwa sababu ya rekodi yake ya kuvunja Haki za Binadamu?
Nielimishe
AiseeeeLakini kwa viroboto ilikuwa sawa....mna nini ninyi? Double standard itawamaliza!!!
===
Siungi Mkono lugha za kuudhi.
Wajumbe wa Kamati kuu anawaita vyura🤣🤣🤣hii imeenda.Kazi ya kumwaribia kwa wananchi, utaifanya vizuri sana.
Hakuna shaka juu ya hilo.
Makonda anarudisha imani ya chama kwa wananchi kwa mtindo wa kusikiliza kero za wananch. ' BIG UP MAKONDA'
Lakini kwa viroboto ilikuwa sawa....mna nini ninyi? Double standard itawamaliza!!!
===
Siungi Mkono lugha za kuudhi.