Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

Huyu jamaa kazi anayoiweza kifanya kwa sasa ni kufungua kanisa kabla hela aliyonayo haijaisha.

Hatakosa wafuasi wenye level ya uelewa kama wake!!

Sisi tunasonga mbele hatuna muda ya kubishana na zero brain.
 
Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.

Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.

Mungu anshughulika na watesi wote wa Lissu.
Inaonekana kwa kila hali, kila kitu unamwamini sana Lissu. Hivi ni kweli dunia hii kuna mtu ambae hajawahi kusema uongo? 😃😃 Sidhani Kama mke wake anaweza kuwa anamwamini Lissu kwa kiwango chako. Hongera Sana mkuu.
 
Rais wa chandema ndio kwaanza yuko darasa la 3 👏🏻😂😂😂.
 
Yaani wewe mtoto Makonda unanikosha mimi wewe mtoto wewe.Yaani unawapa yale ambayo yana ukweli asilimia mia moja.Halafu mgombea anachekelea akiwa ndani ya mwendo kasi ambavyo ni 'vitu' visivyomsaidia mwanannchi.

Makonda, jiji limezubaa utadhani tuko kwenye matanga. Hakuna tena amshaamsha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huwezi kujiita eti unataka urais wa tz kwa kwenda kununua nyanya Kariakoo
 
Back
Top Bottom