Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Lazima uogope chuma linalo yeyuka walizoea Kuongoza kwa matamko 'they know what gona happen to the so called unknown criminals'
 
Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.

Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.

Mungu anashughulika na watesi wote wa Lissu.
Lissu ni muongo. Juzijuzi ameshikwa akisema uongo na kuadhibiwa.
 
Rais wa nchi kutoka chadema KAMA nchi italaaniwa na Mungu basi nafikiri ndio wazazi wake wanapanga watumie staili gani awe conceived...
Hawa wa sasa ni janja janja tu za ruzuku, hamna kitu
Nawe ushakuwa malaika siku hizi?
 
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda: Hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa, sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi maoni yako.
Japo Paul Makonda ana 'Mapungufu' yake ambayo huwa 'yanakera' mno, ila ukituliza vyema kabisa kwa 'Maoni' yake ana 'Hoja' nzuri na ya Msingi.
 
Huyu jamaa alidharauliwa na Mama Samia Sununu kuwa hajui kulenga shabaha.

Mama alisema yeye askari wake kutumia risasi watu tu katika mauwaji
 
Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Anayehangaika na Lissu ni wewe Salary Slip na kundi lako humu JF msiojitambua na kujikubali kuhusu kiwango cha uwezo wenu.

Polisi, Msajiri, NEC, TISS ni vyombo vya Dola vilivyopo Kikatiba kuhakikisha tuliyokubaliana, kama watu wastaarabu, yanalindwa. Mtu kama Lissu, asiyeviheshimu, atawajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Kuna maisha baada ya Uchaguzi.
 
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"

Makonda: Hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa, sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"

Wadau yapi maoni yako.
 
Anayehangaika na Lissu ni wewe Salary Slip na kundi lako humu JF msiojitambua na kujikubali kuhusu kiwango cha uwezo wenu.

Polisi, Msajiri, NEC, TISS ni vyombo vya Dola vilivyopo Kikatiba kuhakikisha tuliyokubaliana, kama watu wastaarabu, yanalindwa. Mtu kama Lissu, asiyeviheshimu, atawajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Kuna maisha baada ya Uchaguzi.
Wewe lofa wa Lumumba sikiliza hii hapa.. kama ubongo wako umzima utaelewa
 
Yaani wewe mtoto Makonda unanikosha mimi wewe mtoto wewe.Yaani unawapa yale ambayo yana ukweli asilimia mia moja.Halafu mgombea anachekelea akiwa ndani ya mwendo kasi ambavyo ni 'vitu' visivyomsaidia mwanannchi.
Makonda ,jiji limezubaa utadhani tuko kwenye matanga.Hakuna tena amshaamsha.
We acha tu.
 
Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Wote hao wanahangaika naye, Lissu, kwa sababu ana kila sifa ya UAJMBAZI na USALITI, ni haki na wajibu wao kuhangaika naye kwa mustakabali wa Tanzania yetu. Vinginevyo HANA LOLOTE WALA CHOCHOTE!
 
Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Wanahangaika nae wakimjua ni dalali wa Amsterdam na wapuuzi wengine wa Ulaya. Na sio zaidi ya hapo.

Hawahangaiki nae kama yeye bali kama mtu mwenye kuwezeshwa na jumuia za watu fulani wenye ajenda zao.
 
Achana na alichokizungumza kwanza, ila maisha yanaenda kasi sana Makonda amehojiwa na kituo gani cha habari? 😂😂😂, kuisha kupo jamani.

Let's meet at the top, cheers 🍻
Kama Manara siku hizi anahojiwa na global tv na Dar mpya..kibri
 
Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.

Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.

Mungu anashughulika na watesi wote wa Lissu.
Lissu aliyetwambia Lowassa ni Fisadi namba 1 na huyo huyo akampigia kampeni achaguliwe kuwa rais! Kichwa chako kinafuta mafaili bahati mbaya au unaumwa!
 
Dogo Makonda niaje ?

Najua siku nyingi sana hatujaonana tangu uende kugombea ubunge daada ya kuutema ukuu wa mkoa na unajua dhahiri nilikukataza na kukushauri sana na hukunisikiliza. Mbaya zaidi nilikuonesha majimbo yaliyo wazi hapa Dar es Salaam ambayo kama ungeenda ilikuwa ni kusukuma mlevi tu ila napo hukunisikiliza.

Leo hii umeibuka tena na kudai kuwa rais wa kwanza wa CHADEMA yuko shule ya msingi kwa sasa na kama kawaida yangu nimekuwa nikiwaonya wewe na vijana wenzako ( wakuu wa mikoa kama Hapi, Gambo na Mnyeti na yule wa Mbeya kutokana na tabia yao ya ku-harass watu na kujigamba kulikopitiliza) lakini bado mnajifanya mnajua sana.

Anyway, Natumia jukwaa hili kukuonya tena na tena wewe na chama chako acheni kujiamini kiasi hicho. Kura za mwaka huu 2020 ziko moyoni mwa wananchi. Watu hawapigi kelele ila watasema na nyie kisawasawa kwenye sanduku la kura. Niliwaambia hamkunisikia na sasa namuona baba yako akihangaika kuishawishi Dar es Salaam ambayo kwa sasa imekuwa tiifu kwa upinzani (a strategic mistake). Nilimwambia hata dogo Suma mziki wa mwaka huu ni mnene mwambie jamaa ila mnajifanya mnajua sana.

Nakushauri tena, wewe na wenzako acheni kabisa kujiamini kiasi hiki. Mtakuwa surprised na yatakayotokea October 28 kama hamtazichanga karata zenu vizuri. Na niliwaambia msishughulike sana na Dar es Salaam, tokeni Dar, nendeni mikoani na nikawatajia mikoa ya kwenda mmedharau. Si mnajifanya hamsikilizi wakubwa . . .subirini muone.

Na mambo yatakapoharibika msiniite kwenye kikao chenu wala kunipigia simu eti mnaniomba ushauri. Likiwafia msithubutu kabisa kuniita na wala msimtumie yule mzee maana nilishamwambia kabisa.
 
Rais kupitia Chadema bado hajazaliwa aisee.
 
Back
Top Bottom