Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

Huyu jamaa kazi anayoiweza kifanya kwa sasa ni kufungua kanisa kabla hela aliyonayo haijaisha.

Hatakosa wafuasi wenye level ya uelewa kama wake!!

Sisi tunasonga mbele hatuna muda ya kubishana na zero brain.
 
Inaonekana kwa kila hali, kila kitu unamwamini sana Lissu. Hivi ni kweli dunia hii kuna mtu ambae hajawahi kusema uongo? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Sidhani Kama mke wake anaweza kuwa anamwamini Lissu kwa kiwango chako. Hongera Sana mkuu.
 
Rais wa chandema ndio kwaanza yuko darasa la 3 πŸ‘πŸ»πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Yaani wewe mtoto Makonda unanikosha mimi wewe mtoto wewe.Yaani unawapa yale ambayo yana ukweli asilimia mia moja.Halafu mgombea anachekelea akiwa ndani ya mwendo kasi ambavyo ni 'vitu' visivyomsaidia mwanannchi.

Makonda, jiji limezubaa utadhani tuko kwenye matanga. Hakuna tena amshaamsha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huwezi kujiita eti unataka urais wa tz kwa kwenda kununua nyanya Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…