Uchaguzi 2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

Nadhani Hajui Kuwa Umoja, Upendo, Mshikamano Upo Kwasababu Ya Uoga Wetu Watanzania, Mwaka Ambao Tutaondoa Nidhamu Ya Uoga Na Kuwachagua Viongozi Tunaowataka Na Kuhakikisha Tunawasimamia Wanapatikana Hayo Maneno Tunayaweka Pembeni Kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K Kama anamjua aliyefanya unyama huo si angekwenda kufungua mashtaka Mahakamani ikizingatiwa kuwa yeye ni mwanasheria?
Hapo tunadanganyana tu.
 
Makonda ndio nani kwenye hii nchi. Wanaibuka watu wa miaka ya Before christ (BC) uko wana ongea pumba
 
Huyu nae hajitambui, mungu amemkataa ,amemkataa ,na amemkataa siku yake ukifika atajuta
 
Kawaambia ukweli, ila wabishi hawa na raisi wao wa miga
 
Huyu anaongeaga tu


Mchukieni tu

Kasema ukweli
 
Sio ajabu hata baada ya kumshindilia utitili wa marisasi hakutegemea kumwona akiwa hai.
 
Kwenye uchaguzi wa mwaka 1995 wapigakura tulitendewa haki kupitia mdahalo wa wazi. Mdahalo umgesaidia sana kutuonyesha kama wagombea urais waliosimamishwa na vyama vya upinzani wanatosha au la.
 
Afadhari wewe mungu ameisha kufunulia maonoi kuwa siku za ccm kuwa madarakani zinahesabika wenzako hufikili itadumu milele. Haya maono yametokana na mziki wa lissu ambao hakuna aliyetegemea na kutoa jawabu kuwa cku zinahesabika kwa chama hiki kongwe
 
Asubiri akiomba JPM apite ili ateuliwe. Yeye, Katambi, na Mayala ni "opportunists".
 
Paulo Makonda anajisikiaje akimuona mtu aliyempangia shambulio la mauaji anakuwa popular and inflential kuliko yeye zero brain wa taifa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
In my humble opinion Makonda has never been popular. If anything, he has been a disgrace to public office. Kitu pekee anachoweza ni kutumwa kazi chafu ya kisiasa. Na hiyo kazi chafu ndiyo inayopelekea kupigana kufa na kupona kuhodhi madaraka ya kisiasa.
 
Huyo mpuuzi hata jiwe angebafilisha Jimbo la kigamboni kuwa kata na kukiita kishtobe chake toka koromije pmakonda njoo huku Kuna kata mpya ugombee udiwani naapa wakaazi wa CCM kigamboni wasingempa kwenye kura za maoni.
 
Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Rais wa nchi kutoka chadema KAMA nchi italaaniwa na Mungu basi nafikiri ndio wazazi wake wanapanga watumie staili gani awe conceived...
Hawa wa sasa ni janja janja tu za ruzuku, hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…