Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Lazima uogope chuma linalo yeyuka walizoea Kuongoza kwa matamko 'they know what gona happen to the so called unknown criminals'Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Lissu ni muongo. Juzijuzi ameshikwa akisema uongo na kuadhibiwa.Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.
Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.
Mungu anashughulika na watesi wote wa Lissu.
Nawe ushakuwa malaika siku hizi?Rais wa nchi kutoka chadema KAMA nchi italaaniwa na Mungu basi nafikiri ndio wazazi wake wanapanga watumie staili gani awe conceived...
Hawa wa sasa ni janja janja tu za ruzuku, hamna kitu
Uongo upi?Lissu ni muongo. Juzijuzi ameshikwa akisema uongo na kuadhibiwa.
Kumbe yupo!?
Japo Paul Makonda ana 'Mapungufu' yake ambayo huwa 'yanakera' mno, ila ukituliza vyema kabisa kwa 'Maoni' yake ana 'Hoja' nzuri na ya Msingi.Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"
Makonda: Hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa, sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"
Wadau yapi maoni yako.
Bashite ana akili ya kuku ......... ukimfukuza mahali baada ya dakika anakuwa amesahau anarudi tena palepale!!Amesahau kwamba yeye ndie sababu ya Lissu kuwa nje.
Anayehangaika na Lissu ni wewe Salary Slip na kundi lako humu JF msiojitambua na kujikubali kuhusu kiwango cha uwezo wenu.Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
https://www.facebook.com/Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu anaweza kuwa rais 2020?"
Makonda: Hawa wanarukaruka tu, CHADEMA bado sana kuchukua nchi, rais wa kwanza kama yupo basi atakuwa darasa la tatu au la nne anajiandaa na mtihani wa taifa, sio hawa wanaokaa miaka minne nje halafu wiki mbili kabla ya uchaguzi wananunua mitumba Manzese na kudai tayari wanajua shida za wananchi"
Wadau yapi maoni yako.
Wewe lofa wa Lumumba sikiliza hii hapa.. kama ubongo wako umzima utaelewaAnayehangaika na Lissu ni wewe Salary Slip na kundi lako humu JF msiojitambua na kujikubali kuhusu kiwango cha uwezo wenu.
Polisi, Msajiri, NEC, TISS ni vyombo vya Dola vilivyopo Kikatiba kuhakikisha tuliyokubaliana, kama watu wastaarabu, yanalindwa. Mtu kama Lissu, asiyeviheshimu, atawajibishwa kwa mujibu wa sheria.
Kuna maisha baada ya Uchaguzi.
We acha tu.Yaani wewe mtoto Makonda unanikosha mimi wewe mtoto wewe.Yaani unawapa yale ambayo yana ukweli asilimia mia moja.Halafu mgombea anachekelea akiwa ndani ya mwendo kasi ambavyo ni 'vitu' visivyomsaidia mwanannchi.
Makonda ,jiji limezubaa utadhani tuko kwenye matanga.Hakuna tena amshaamsha.
Wote hao wanahangaika naye, Lissu, kwa sababu ana kila sifa ya UAJMBAZI na USALITI, ni haki na wajibu wao kuhangaika naye kwa mustakabali wa Tanzania yetu. Vinginevyo HANA LOLOTE WALA CHOCHOTE!Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Wanahangaika nae wakimjua ni dalali wa Amsterdam na wapuuzi wengine wa Ulaya. Na sio zaidi ya hapo.Polisi, Msajili, NEC, TISS, wote wanahangaika na mtu mmoja(LISSU), halafu huyu anaongea ujinga gani sijui!
Kama Manara siku hizi anahojiwa na global tv na Dar mpya..kibriAchana na alichokizungumza kwanza, ila maisha yanaenda kasi sana Makonda amehojiwa na kituo gani cha habari? πππ, kuisha kupo jamani.
Let's meet at the top, cheers π»
Lissu aliyetwambia Lowassa ni Fisadi namba 1 na huyo huyo akampigia kampeni achaguliwe kuwa rais! Kichwa chako kinafuta mafaili bahati mbaya au unaumwa!Lissu anadai na kumtaja hadharani Huyu mkuu wa mkoa mstaafu kuwa ni moja kati ya vijana waliotumwa kufanikisha shambulizi la Mauaji ya Lissu.
Lissu huwa ni mkweli siku zote, sijawahi kumuona akiwa mnafiki na Muongo.
Mungu anashughulika na watesi wote wa Lissu.