Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
MAKONDA anasema hizi jezi sio bora kwa standard gani? TBS si wapo? Kazi yao ni nini?Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
BASHITE ana hasira kwasababu kakosa GANJI hapo ,anataka na yeye GANJI LAKE.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
Tatizo ile mijezi mibayaKwahiyo tatizo ni ten percent siyo?
Shida mijezi ile ni mibaya hata kuiangaliaSasa huyu Mama kaleta tena shida ileile, ngoja amnukishe uvundo wake tu.
Huwezi ukatengeneza jezi mbaya mbovu na isiyovutia kibiashara kwa kigezo cha mkataba, nonsenseNimuda wa wanasheria wa sandaland kutumia elimu yao juu ya mkataba walioingia na TFF
Hebu tuwekee hapa tuzione hizo jezi unazosema mbaya, inawezekana wewe hujui Stars imetokea wapi?Huwezi ukatengeneza jezi mbaya mbovu na isiyovutia kibiashara kwa kigezo cha mkataba, nonsense