Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"