Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.

" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"

Uzuri Sandaland mteja wake ni tff.Tff inajua kuwa FIFA haimtambui waziri inamtambua Rais wa Tff
 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.

" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"

Hii serikali inaongozwa na wajinga watupu, kuanzia juu kabisa hadi chini kabisa
 
Yani anaonesha kwamba Mama hana la kumfanya, kuna siri zaio anazijuwa, kiburi cha Makonda kipo hapo.

Magufuli alishukuru Makonda alipojimaliza mwenyewe kwenda kugombea Ubunge Kigamboni akapigwa chini na Magufuli akamlia bati.

Sasa huyu Mama kaleta tena shida ileile, ngoja amnukishe uvundo wake tu.

Huyo sio mtu mdogo. Fikiria alivamia clouds akiwa na askari wa Tisss wamemsindikiza.

Imagine mtu anaweza ku amrisha mpaka idara nyetii wafate maagizo yake.
 
Tatizo ni sisi kuishi kwa hisia bila kuwa na taarifa kamili. Hatujui mkataba kati ya hizi tasisi mbili ukoje?

Na pia:
1: Je Sandaland alipopewa mkataba aliondoka na kwenda kutengeneza jezi bila kuhusisha TFF kwenye mlolongo wa upatikanaji wa jezi husika?

2: Nani alihusika na kuchagua miongoni mwa jezi zilizopendekezwa?

3: Je kuna kipengela cha mkataba kati ya TFF na Sandaland kilikiukwa?

4: Kama jezi husika kwenye utaratibu waliojiwekea kisheria ulifuatwa na TFF ikaidhinisha tatizo ni la nani?

5: Nani abebe lawama kati ya aliyeidhinisha naitaka hii na aliyeenda kutengeneza jezi?
 
Hakuna tatizo lolote kwa taasisi za TFF na Sunderland kwenye mkataba wao.

Tatizo Makonda wakati anapanga deal zake za upigaji ndio anashtuka kumbe mkataba wa jezi ulishasainiwa na TFF waziri akiwa Damas Ndumbaro ambaye ni mwanasheria.

Kinachomsumbuwa na kumuuma Makonda ni kukosa 10 petcent.
 
Back
Top Bottom