Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Hata kama Taifa stars watavaa jezi za magunia, let them focus kwenye kuleta ushindi.
Haijalishi paka ni mweusi au mweupe, muhimu akamate panya!
Nadhani sasa discussion kubwa iwe, tunaiwezeshaje Taifa stars kuleta ushindi? Na sio maswala ya jezi.
Sawa sana
 
Tatizo deal limepita pembeni watu wanaumia wanataka na wao waongeze cha juu. Ni lini mmesikia serikali inapiga kelele kuhusu jersey za Timu ya Taifa kama sio watu wameona hawajaongeza sifuri kama kwenye ziara ya Rio Ferdinand.
 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.

" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"

Hiyo itakuwa ni kuvunja mkataba alioingia na TFF. Hii inakuwa kama ana kitu personal na jamaa
 
Hakuna tatizo lolote kwa taasisi za TFF na Sunderland kwenye mkataba wao.

Tatizo Makonda wakati anapanga deal zake za upigaji ndio anashtuka kumbe mkataba wa jezi ulishasainiwa na TFF waziri akiwa Damas Ndumbaro ambaye ni mwanasheria.

Kinachomsumbuwa na kumuuma Makonda ni kukosa 10 petcent.
Itakuwa kweli. Anatwambia aliongea na Nike ina maana alianza kuongea na Nike huku akijua kuna mkataba tayari. Unafanyaje mazungumzo ukijua tayari kuna mkataba nadhani hapo ndipo akawaza anauvunja vipi akaja na hizi sarakasi
 
Makonda hata huko wizarani hawamkubali ,sema Sasa watafanyaje? Inabidi wavumilie then mwisho wa mwezi uingie na maisha yaendelee
 
Huyu waziri anaekomalia ubora wa jezi, ndio yeye amepiga picha na jamaa wa mbele huko ameshikilia jezi imeandikwa Samia?
 
Anajua maana ya haki za kimkataba lakini au ni story za vijiweni????
 
Back
Top Bottom