Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Huo ubovu kauona yeye na wewe pekee? Mbona hakuna malalamiko ya wanaozinunua? Kuna shida mahali.Huwezi ukatengeneza jezi mbaya mbovu na isiyovutia kibiashara kwa kigezo cha mkataba, nonsense
Huo ubovu kauona yeye na wewe pekee? Mbona hakuna malalamiko ya wanaozinunua? Kuna shida mahali.Huwezi ukatengeneza jezi mbaya mbovu na isiyovutia kibiashara kwa kigezo cha mkataba, nonsense
Anavunja nani Makataba? Wavunje walimpe fidia.kama anatengeneza jezi mbaya mkataba unavunjwa tu, uingie mkataba halafu utengeneze jezi mbaya halafu uachwe tu?
Mimi na nani?Nani kawazuia kufanya hivyo? Mkataba umesainiwa mwaka 2023, mlikuwa wapi kusema hayo mpaka muibukr Leo jezi zimetoka?
Makonda alikuwa wapi siku zote. Halafu mambo mengine angeongea pembeni.Makonda hana uwezo wa kuleta jezi nyingine kabla mkataba wa huyu bwana haujaisha ama kuvunjwa la sivyo watakuja kuingia hasara ambayo haijawahi kutokea kuanzia yeye, mzabuni, tff na hao watakaotoa fedha za huo mradi, busara itumike, zije jezi nyingine, kwa maana ya Official AFCON 2027 Jersey kwa Taifa Stars, Home and Away kits zizinduliwe na huyo anayemtaka na hizi nyingine zitambuliwe ni jezi za Taifa za michezo mingine, kwa 2026/2027.
Sandaland awe makini, huyu huyu jamaa ni lunatic, you f*uck with him, he will make your life miserable
True factMaswala ya biashara ilitakiwa wakae wao na si kuita waandishi wa habari na kuzungumza kila mtu anavyoona yeyr wameshindwa kufanya vitu professional wataweza kutengeneza Jezi zenye ubora kweli..
😁Huyu jamaa eti ndio alimpiga miti kimasiara mama abduli, yani kwakifupi ni baba wa kambo wa wanu 😂.
Kweli kabisa.Huo ubovu kauona yeye na wewe pekee? Mbona hakuna malalamiko ya wanaozinunua? Kuna shida mahali.
Waandishi wa nchi gani Tanzania huyu anaogopwa kuliko waziri mkuu.Kwahiyo tatizo ni ten percent siyo?
Basi utashangaa waandishi maboya wanaondoka hapo bila kumbana Makonda kwa maswali magumu mpaka kisukari kimpande.
Kina Abdalla Majura sijui yuko wapi?
Cc: Pascal Mayalla
Mkuu Makonda kasema Nike wamekuballi kutengenza jezi zetu na nijambo zuri sanq, inaonekana Tff hawataki kampuni za kimataifa wapate tenda za kutengeneza jezi, ni sawa na Timu zetu za Simba na YANGA viongozi wao hawataki jezi zao zitengenezwe na Kampuni kubwa wanajua watakosa pesa
Yani mpaka asemee huyo sanda kwanza anaonekana mjanja mjanjaAngefanya hivyo mapema kabla jezi hazijatoka ila kwa Sasa ni kama anamuingiza hasara huyo Sandaland.
Sijajua Mikataba Ya hizo kampuni mfano Nike wakitengeneza jezi wana lipwa vipi, naamini tunaweza kama Timu ndogo zimeweza sisi kama nchi tunawezaNike watatengeneza kwa aina ya mkataba kama huu ambao TFF haitoi pesa yeyote au mwingine wa Nike kulipwa na TFF?
Fitina ni hao TFF ambao hawakutangaza Tenda ili kampuni ziombe, Tenda ingetangazwa Makampuni Makubwa yangejitokeza kwasababu Timu yetu ya Taifa inacheza Mashindano makubwa pamoja na Timu kubwa Mfano Senegal, Egypt, Morroco.Mnafitina sana na unafiki sana. Haya mmeyajua baada ya Sandal and kutoa jezi zake? Hii nchi kweli vichaa ni wengi.
Tanzania, unajua Jamal Malinzi alifunguliwa kesi nyingi na Uraisi wa Tff akaukosa na FIFA hawakuja kumteteaUhujumu uchumi kwenye Nini? Nani kaibiwa?.
Mkuu ulishanipa loss sana, hadi nakuogopa!...Sasa mkuu Takukuru wakimpa kesi ya Uhujumu Uchumi Karia hao FIFA watakuja kumtoa?
Huwezi ukatengeneza jezi mbaya mbovu na isiyovutia kibiashara kwa kigezo cha mkataba, nonsense
Kama tunaenda kununua Nike sawa lakini sio Nike watulipe labda wazungumze na Puma.Nike watatengeneza kwa aina ya mkataba kama huu ambao TFF haitoi pesa yeyote au mwingine wa Nike kulipwa na TFF?
Sijui huwa wanapataje nafasi WAPUMBAVU wa hivi. Yani mtu unamsikiliza unaona aibu.sijawahi muelewa huyu muheshimiwa. siamini kama anastahili cheo chochote
Sisi tutavaa za sandalandWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
watu mna taarifaHuyu jamaa eti ndio alimpiga miti kimasiara mama abduli, yani kwakifupi ni baba wa kambo wa wanu 😂.