Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.

" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"

Sasa kama waziri anawezaibuka tuu akavunja sheria hii ikoje
 
Bashite anadhani ni rahisi hivyo?

Aingize jezi zake mtaani aone moto!

na kuna jezi rasmi zinazotambuliwa na fifa... na mzabuni rasmi (sandaland) mwenye mkataba na Tff ambae ni mwanachama wa fifa...

Huyu anatafuta KUFILISIWA!

Makonda anachotafuta ni kupunguza mauzo ya Sandaland kwa sababu katika mkataba baina ya TFF na Sandaland ni kwamba TFF haiingii gharama yeyote kwenye kutengenezwa kwa vifaa vya michezo vya timu za Taifa...

Sandaland yeye kainject mzigo fulani wa pesa mahsusi kutengeneza jezi na vifaa vingine, hela yake anairudisha kwenye mauzo ya hizo jezi...

Sasa Makonda anataka kuleta ushindani kwa kutengeneza mbadala wa jezi ambazo naamini anataka kulenga zivaliwe na mashabiki pekee...

Hii ni kielelezo cha nchi ambayo kila mwenye mamlaka anaweza amua tu afanye nini...
 
Mkuu Makonda kasema Nike wamekuballi kutengenza jezi zetu na nijambo zuri sanq, inaonekana Tff hawataki kampuni za kimataifa wapate tenda za kutengeneza jezi, ni sawa na Timu zetu za Simba na YANGA viongozi wao hawataki jezi zao zitengenezwe na Kampuni kubwa wanajua watakosa pesa
 
Kama Makonda anataka hivyo labda jezi zake zitavaliwq na wachezaji tu qu atakuwa anagawa bure
Mimi hata bure siwezi kuvaa laana za Makonda.

Screenshot_20260922_071819.jpg
 
Kama Makonda anataka hivyo labda jezi zake zitavaliwq na wachezaji tu qu atakuwa anagawa bure
Wananchi watanunua Mfano Adidas, Puma au Nike mmoja wapo apewe Tenda ya kututengenezea jezi mimi mwenyewe nitanunua kwanza zitakua nzuri sana, kwanza hizi kampuni ni kubwa na zinaizoefu wa kutengeneza vifaa vya Michezo, we uoni kama Far Rabat, Mamelod, Zamaleki jezi zao ni nzuri sana.
 
Mkuu Makonda kasema Nike wamekuballi kutengenza jezi zetu na nijambo zuri sanq, inaonekana Tff hawataki kampuni za kimataifa wapate tenda za kutengeneza jezi, ni sawa na Timu zetu za Simba na YANGA viongozi wao hawataki jezi zao zitengenezwe na Kampuni kubwa wanajua watakosa pesa
Serikali haitowi tender kwa matakwa ya Makonda, mwambieni huyo pimbi wenu serikali ina regurator wa manunuzi Ppra asidhani wizara ni mali yake.

Waitishe tender kampuni zishindane ndio mshindi anapewa tender ndio utaratibu wa tender za serikali.

Simba na Yanga na club zingine ndio zinaweza kumteuwa yeyote wansyemtaka wana uhuru huo.

Kumbe ziara ya ilikuwa ya madeal bila kujuwa tender ya jezi ilishasepeshwa kitambo tu.😂🤣🤣
 
Sema tu Samia ana matatizo huyo bwana hajawahi kuwa na akili, atamharibia bosi wake hataamini. Bashite hana uwezo wala kaliba ya cheo cha uwaziri. Wanamwogopea uchawi? Ht kule nje ni kutuaibisha tu!
Haya ni matatizo ya Mama anajitakia, anamjuwa mtoto wake ni kimeo basi angemuacha hukohuko kwenye uenezi wa ccm wauwane vizuri.
 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.

" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"

Kauli ya mtu aliyeshindwa ila anatanguliza cheo kwenye mjadala na ushindani huo
 
Nadhani ishu ya jezi wapewe tu makampuni makubwa ya nje kama NIKE, PUMA, ADIDAS au LINING... kuna shida kufanya kazi na wazabuni wa ndani. Pia uyanga na usimba ni tatizo ambalo linaathiri mambo mengi. Kuondoa utata zabuni zitolewe kwa makampuni ya nje.
 
Makonda hana uwezo wa kuleta jezi nyingine kabla mkataba wa huyu bwana haujaisha ama kuvunjwa la sivyo watakuja kuingia hasara ambayo haijawahi kutokea kuanzia yeye, mzabuni, tff na hao watakaotoa fedha za huo mradi, busara itumike, zije jezi nyingine, kwa maana ya Official AFCON 2027 Jersey kwa Taifa Stars, Home and Away kits zizinduliwe na huyo anayemtaka na hizi nyingine zitambuliwe ni jezi za Taifa za michezo mingine, kwa 2026/2027.

Sandaland awe makini, huyu huyu jamaa ni lunatic, you f*uck with him, he will make your life miserable
 
Back
Top Bottom