Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Wewe hujasikia?watu mna taarifa
Wewe hujasikia?watu mna taarifa
Hawa jamaa wakitaka Karia kesho aachie ofisi barua inatoka usiku kama usajili wa yangaUzuri Sandaland mteja wake ni tff.Tff inajua kuwa FIFA haimtambui waziri inamtambua Rais wa Tff
Ngoja wanyoshane kidogo...Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
akalipwe na mama yakeAnavunja nani Makataba? Wavunje walimpe fidia.
Ndio ushangae, yuko kama mwenyekiti wa kikoba.Kuna watu wanamuona huyu kama presidential candidate, 🤣
Huwa simpendi huyu kupe aliyenenepeana manonihino sijui kuna nini nyuma ya pazia.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
Kwanza hizo jezi za timu ya taifa nani anapenda kuzivaa hadi ujimwambafai kwamba utauza? Niache kuingia kiwanjani na uzi wangu wa mnyama niende kununua jezi la rangi ya Yanga? Are you serious?Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
Ni hatari tupu mkuu! Halafu wanna promote kampuni ya nje Nike wawape hio tenda! Halafu wakisimama majukwaani wanasema wanapambana biashaUwekezaji Tanzania ni mgumu sana.
Na hili ndio tatizo letu waafrika hatuamini katika vitu vyetu tunaamini vya wazungu yaani kitu kikiwa Cha mzungu TU tunaona Cha kwetu hakifai...dangote anapambana kututoa kwenye iz fikra za kitumwa na kutuaminisha waafrika tunaweza km tukiamua...sasa wewe ndugu yangu ni mhanga wa fikra za kitumwaMkuu lakini kasema kampuni ya Nike imekubali kutengeneza jezi za Timu ya Taifa, kama ni kweli basi ni jambo zuri sana nasisi tutakua na Jezi nzuri kama za Ulaya. Kuliko za huyu Sandaland ambazo kabandika nembo yake kwenye Jezi yetu ya Taifa
Hio ni kazi ya tff walioingia mkatabakama anatengeneza jezi mbaya mkataba unavunjwa tu, uingie mkataba halafu utengeneze jezi mbaya halafu uachwe tu?
Halafu hadharani anajisifu anaongozwa na Roho wa Bwana!Kwenye uchawi hii nimeambiwa/ na watu wa ndani wa kuaminika
Wewe umesema Kwani wewe ni nani?Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametishia kuwa iwapo kampuni ya Sandaland ikiendelea na msimamo wao bila kuongeza ubora wa jezi za timu ya taifa, Serikali itatangaza fursa kwa wabunifu na vijana Watanzania kubuni jezi mbadala na kila mtu kuingia mtaani kuuza zake.
" Mungu akipenda, wiki ijayo kama wenzetu wakiendelea kuwa na mapambano, basi tutatangaza design kwa wazawa ambao ni Watanzania, kudesign jezi. Alafu sisi tutaingia mtaani kuuza. Sasa kila mtu si atauza ya kwake?"
Hapana mkuu tatizo wa Afrka hatutaki kuambiwa ukweli. Mimi nina jezi ya Dortmond ya Lewandowski na jezi ya Ac Milani ya Ronaldinho, hizi jezi zote sijanunua mwenyewe ila nikioewa zawadi na Wazungu ni jezi nzuri zenye Quality nzuri sana uwezi kuzidananisha na jezi zetu za Timu ya Taifa mpaka kwenye vilabu vyetu na tena nikupa hizo jezi uende kuzinunua Kwenye Maduka yetu ni ngumu kuzipa na kama utazipata basi feki low Quality. Kwani wewe uoni jezi za AL Ahly, Zamaleki, Far Rabat, Mamelodi ni nzuri kuliko jezi za timu zetu? Chukua jezi za YANGA na Jezi za Mamelodi kwani zipo sawa kwa ubora na uzuri?Na hili ndio tatizo letu waafrika hatuamini katika vitu vyetu tunaamini vya wazungu yaani kitu kikiwa Cha mzungu TU tunaona Cha kwetu hakifai...dangote anapambana kututoa kwenye iz fikra za kitumwa na kutuaminisha waafrika tunaweza km tukiamua...sasa wewe ndugu yangu ni mhanga wa fikra za kitumwa