Makonda: Sikutegemea kwamba leo ndo itakuwa ni siku yangu ya mwisho kuaga, namshukru sana Rais Samia

Na waziri wa mambo ya ndani ajaye!
Labda wa Michezo au Uvuvi na Ufugaji

Waziri wa Mambo ya Ndani anapewa mtu dhaifu dhaifu, sio jitu kama Makonda. Uchawa wa Makonda ni wa kimkakati tu lakini ana miguvu ya kumfunika Rais ambae sio strong and popular.

System inajua Makonda is way too anbitious and strongheaded to be made Home Affairs Minister. Overqualified, for their taste and standards.
 
Wakuu,

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini mara mbili ikiwemo kumpa nafasi ya kuwa Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadaye Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo Makonda amesema licha ya baadhi ya Watu kumkandamiza kisa mapambano yake ya kupinga dawa za kulevya na ushoga lakini bado haikumzuia Rais Samia kumuamini na kumpa fursa.

Akiongea leo June 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (AICC) Jijini Arusha, Makonda amesema

Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya

“Mh. Mgeni rasmi Balozi (Dkt. Nchimbi), naomba kwa unyenyekevu mkubwa unifikishie salamu kwa Rais Samia kwa kuniamini mara mbili ndani ya utumishi wake wa urais tangu mwaka 2021, kuniteua kuwa Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, sikutarajia leo itakuwa hotuba yangu ya kuaga”

Acha kudanganya watu UBUNGE una pesa ndefu zaidi ya ukuu wa mkoa.
 
..kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM bado haijajazwa.
Katibu Mkuu wa chama ni cheo cha mtendaji wa chama.

Si cheo cha kumpa mtu wa kubwabwaja bila kujielewa kama Makonda. Mtu aliyepigwa ban kuingia nchi nyingine kwa tuhuma za kudhulumu haki ya kuishi ya watu.

But then again, CCM kama wamempa urais na uenyekiti wa CCM Samia, anything is possible.
 
Huyu Huwa ana nyota ya Kushindwa labda abebwe
Sio kweli CCM ina tabia ya kum test mtu vyeo tofauti kumuona kama yuko fit vya kupanda na kushuka kunuona kama yuko serious kwa maslahi ya CCM au binafsi kama mfano akishushwa

Mfano Nchimbi alipita hiyo test kali alikuwa timu Lowasa na Lowasa alipotimkia Chadema Akiwa maarufu sana Nchimbi alibaki CCM pamoja na ahadi kibao alizoahidiwa na Lowasa kuwa akishinda uraisi Chadema atampa uwaziri mkuu Nchimbi

Nchimbi hakuwa na tamaa akabaki kuwa loyal kwa CCM bila cheo chochote

Vivyo hivyo kwa Makonda huo mtihani wa vyeo vikubwa na kuwa benchi alishaushinda bila kuhama CCM au kuwa na manunguniko na CCM

CCM sio waganga wa kienyeji kuangalia nyota huangalia vigezo je mtu akishuka cheo anaendelea kuwa loyal kwa CCM au anaangalia maslahi yake tu kama Mpina au Lowasa baada ya kutolewa uwaziri? Kuwa mpinga CCM? Kisa fursa hana?

Makonda hiyo mitihani yote kashinda alipigwa chini kama mkuu wa mkoa wa Dar es salaam hakuhama CCM na hakuwa na kelele kutukana CCM

Akakumbukwa akapewa uenezi CCM taifa cheo kikubwa ndani ya CCM akangara sana baadaye akapigwa chini akabaki layman hakuhama CCM na kuwa na mikelele ya kutukana CCM kama Mpina mbunge wa Kisesa

Baadaye akakumbukwa akapewa ukuu wa Mkoa Arusha kapiga kazi hasa hadi wana Arusha mjini wanamtaka awe mbunge wao

Gambo hakuombwa na wana Arusha alikuwa tu kipenzi cha Magufuli tu sio wana Arusha Wana Arusha kipindi kile walimtaka Godbless Lema wa Chadema sio Gambo. Gambo alipata ubunge kupitia rafu tu za Magufuli sio kuwa wana Arusha walimtaka .Ni uongo.Ukweli lazima usemwe

Kwa sasa CCM imepata mtu ambaye watu wa Arusha mjini wako serious wanamtaka kama mbunge ambaye ni Makonda.Wana Arusha mjini wanamtaka sio Gambo.
Makonda kafanya makubwa Arusha ambayo si tu yatampa kura nyingi kama mbunge na aweza kuwa mbunge pekee Tanzania nzima aliyepata kura nyingi za ubunge kuliko mbunge yeyote lakini pia Arusha mjini mgombea ubunge akiwa Makonda jimbo la Arusha mjini laweza ongoza kwa kutoa kura nyingi za mgombea uraisi na mgombea mwenza kuliko jimbo lolote Tanzania nzima

Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ni kuwa mkoa mzima Makonda wamemukubali hivyo aweza kuwa karata nzuri sana ya CCM kufanya vizuri uchaguzi mkuu Ashirikishwe kampeni wilaya zote za Arusha kuomba kura sababu anakubalika wilaya zote za Arusha aweza saidia ushindi wa kishindo Arusha nzima kwa wagombea wa CCM tofauti na Gambo
 
Katibu Mkuu wa chama ni cheo cha mtendaji wa chama.

Si cheo cha kumpa mtu wa kubwabwaja bila kujielewa kama Makonda. Mtu aliyepigwa ban kuingia nchi nyingine kwa tuhuma za kudhulumu haki ya kuishi ya watu.

But then again, CCM kama wamempa urais na uenyekiti wa CCM Samia, anything is possible.

..hata anavyomtendea Mrisho Gambo mbunge wa Arusha sio sawa kabisa.

..Na anafanya hivyo huku akiwa na nia ya kugombea ubunge wa Arusha mjini.

..Kwa kweli Makonda ni kiongozi wa ajabu na hovyo kutokea hapa Tanzania.
 
Kesha teuliwa hajatangazwa tu.

Alikuwa mkuu wa mkoa hafanyiwi vetting nyingine.

Wabunge ni wateuliwa wa rais, ukipitishwa kura ya maoni una subiri kuapishwa basi.

Chama ni cha watawala siyo cha wananchi.

Wananchi wanatumiwa tu kuhalalisha mapenzi ya watawala.
 
Makonda amewashinda wenhi wasomi wenye PhD kwa uthubutu wa kufanya mambo na ubunifu

Endekezeni PhD zenu zisizo na maana wala faida kwa taifa letu

Mjinga akifanya vema kushinda wasomi, kuna maana gani kumwamini msomi?
 
..hata anavyomtendea Mrisho Gambo mbunge wa Arusha sio sawa kabisa.

..Na anafanya hivyo huku akiwa na nia ya kugombea ubunge wa Arusha mjini.

..Kwa kweli Makonda ni kiongozi wa ajabu na hovyo kutokea hapa Tanzania.
Nitafurahi sana kama Arusha watambwaga.
 
Sio kweli CCM ina tabia ya kum test mtu vyeo tofauti kumuona kama yuko fit vya kupanda na kushuka kunuona kama yuko serious kwa maslahi ya CCM au binafsi kama mfano akishushwa

Mfano Nchimbi alipita hiyo test kali alikuwa timu Lowasa na Lowasa alipotimkia Chadema Akiwa maarufu sana Nchimbi alibaki CCM pamoja na ahadi kibao alizoahidiwa na Lowasa kuwa akishinda uraisi Chadema atampa uwaziri mkuu Nchimbi

Nchimbi hakuwa na tamaa akabaki kuwa loyal kwa CCM bila cheo chochote

Vivyo hivyo kwa Makonda huo mtihani wa vyeo vikubwa na kuwa benchi alishaushinda bila kuhama CCM au kuwa na manunguniko na CCM

CCM sio waganga wa kienyeji kuangalia nyota huangalia vigezo je mtu akishuka cheo anaendelea kuwa loyal kwa CCM au anaangalia maslahi yake tu kama Mpina au Lowasa baada ya kutolewa uwaziri? Kuwa mpinga CCM? Kisa fursa hana?

Makonda hiyo mitihani yote kashinda alipigwa chini kama mkuu wa mkoa wa Dar es salaam hakuhama CCM na hakuwa na kelele kutukana CCM

Akakumbukwa akapewa uenezi CCM taifa cheo kikubwa ndani ya CCM akangara sana baadaye akapigwa chini akabaki layman hakuhama CCM na kuwa na mikelele ya kutukana CCM kama Mpina mbunge wa Kisesa

Baadaye akakumbukwa akapewa ukuu wa Mkoa Arusha kapiga kazi hasa hadi wana Arusha mjini wanamtaka awe mbunge wao

Gambo hakuombwa na wana Arusha alikuwa tu kipenzi cha Magufuli tu sio wana Arusha Wana Arusha kipindi kile walimtaka Godbless Lema wa Chadema sio Gambo. Gambo alipata ubunge kupitia rafu tu za Magufuli sio kuwa wana Arusha walimtaka .Ni uongo.Ukweli lazima usemwe

Kwa sasa CCM imepata mtu ambaye watu wa Arusha mjini wako serious wanamtaka kama mbunge ambaye ni Makonda.Wana Arusha mjini wanamtaka sio Gambo.
Makonda kafanya makubwa Arusha ambayo si tu yatampa kura nyingi kama mbunge na aweza kuwa mbunge pekee Tanzania nzima aliyepata kura nyingi za ubunge kuliko mbunge yeyote lakini pia Arusha mjini mgombea ubunge akiwa Makonda jimbo la Arusha mjini laweza ongoza kwa kutoa kura nyingi za mgombea uraisi na mgombea mwenza kuliko jimbo lolote Tanzania nzima

Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ni kuwa mkoa mzima Makonda wamemukubali hivyo aweza kuwa karata nzuri sana ya CCM kufanya vizuri uchaguzi mkuu Ashirikishwe kampeni wilaya zote za Arusha kuomba kura sababu anakubalika wilaya zote za Arusha aweza saidia ushindi wa kishindo Arusha nzima kwa wagombea wa CCM tofauti na Gambo
Kigamboni nini kilomtokea?
 
Wakuu,

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini mara mbili ikiwemo kumpa nafasi ya kuwa Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadaye Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo Makonda amesema licha ya baadhi ya Watu kumkandamiza kisa mapambano yake ya kupinga dawa za kulevya na ushoga lakini bado haikumzuia Rais Samia kumuamini na kumpa fursa.

Akiongea leo June 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (AICC) Jijini Arusha, Makonda amesema

Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya

“Mh. Mgeni rasmi Balozi (Dkt. Nchimbi), naomba kwa unyenyekevu mkubwa unifikishie salamu kwa Rais Samia kwa kuniamini mara mbili ndani ya utumishi wake wa urais tangu mwaka 2021, kuniteua kuwa Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, sikutarajia leo itakuwa hotuba yangu ya kuaga”

Akipata nafasi kwenda kwao nyumbani utashangaa anateuliwa kwa mara nyingine tena.
 
Bashite wa Taifa,kuna mdau aliwahi kusema kuwa siku akiwa na akili kama Bashite basi ndugu zake wamuwahi na kumuua
 
Back
Top Bottom