Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo siku ya uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2024
Wale wenzangu na mimi mwende mkapate ushauri kwa gwiji la uchumi Makonda, mishahara iwe inakutana na hata kutoigusa kabisa na huku mnaishi kama wafalme!