🤔😃😃Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Wale wenzangu na mimi mwende mkapate ushauri kwa gwiji la uchumi Makonda, mishahara iwe inakutana na hata kutoigusa kabisa na huku mnaishi kama wafalme!
Hakika,yaan kuropoka huku wanaonekana vichaaKuna muda viongozi wajifunze kunyamaza na kuacha kutuelezea maisha yao.
Huyu Bado hajazisoma codes za Mama..Wakuu,
View attachment 3173025
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo siku ya uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2024
Wale wenzangu na mimi mwende mkapate ushauri kwa gwiji la uchumi Makonda, mishahara iwe inakutana na hata kutoigusa kabisa na huku mnaishi kama wafalme!
Uzi ufungwe, kasema kweli. Lazima uwe jambazi ili uweze kuishi bila kutegemea kipato chako halali.Wa kwake anapeleka madhabahuni, anakula wa wenzake.
Sasa kama una billion hata 20 tu ukaweka nusu yake hati fungani mbali na biashara zako zingine unakosaje kuishi kifalme? We kila mwaka uwe na mgao wa 1.59 Billion toka BOT unaachaje kuishi kifalme bado una pharmacy kwenye majiji yote makubwa nchini. Unakosaje kuishi kifalme.Amejikusanyia utajiri mkubwa kwa muda mfupi miaka 5 ya Magu,hana wasiwasi maana katika hali ya kawaida unawezaje kuishi maisha mazuri bila kipato chako halali?
Aisee..Sasa kama una billion hata 20 tu ukaweka nusu yake hati fungani mbali na biashara zako zingine unakosaje kuishi kifalme? We kila mwaka uwe na mgao wa 1.59 Billion toka BOT unaachaje kuishi kifalme bado una pharmacy kwenye majiji yote makubwa nchini. Unakosaje kuishi kifalme.
Hapo sijazungumzia biashara za watu kubwa ambako amejibanza na anashea ya faida kila mwaka.
Maswali ya msingi, serikali makini ingembana hapa vibaya mno ili aelezee yeye Huwa anatumiaga Nini.....Kama mshahara wote anatoa sadaka hiyo sawa! Lkn naomba kujua juu ya
1. Yeye na familiya yake wanakula nini?
2. Utajiri alionao anaupataje ( maana watumishi kama hao hawafanyi biashara)
3. Majumba, magari n.k anavinunua kwa pesa ipi? I'm
Achana nae mama anamtumia makonda akishamaliza kaziatakaa pembeni.Huyu Bado hajazisoma codes za Mama..
Mama hapendi hizi pomposity... Alishawaambia wasitunishe mabega.
Lakini akumbuke kwamba vyovyote Iwavyo hutakiwi kumzidi bosi wako Fame.
Sintasema tena.