Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

Hayo ya Makonda hayakuwa maoni. Yalikuwa maelekezo maana alisema ataunda tume ya kuchunguza mkataba. Sasa ni maoni gani hayo yanayo husisha uchunguzi wa Mkataba?
Kwani kuunda tume au kuchunguza mkataba ni kosa
 
Hahahaha ila makonda, hapo mwisho eti "Mwanaume haongei ongei"
 
Makonda haelewi tu kuwa wananchi wengi wana usongo na yeye.
 
Hayo ya Makonda hayakuwa maoni. Yalikuwa maelekezo maana alisema ataunda tume ya kuchunguza mkataba. Sasa ni maoni gani hayo yanayo husisha uchunguzi wa Mkataba?
Shule kaka , mheshimiwa hajui kama kwa position yake maoni ni maelekezo aka amri, tukipeleka watoto shule tuhakikishe wanakaa darasani na wanaelewa ikitokea wamefeli tusifoji vyeti ili wafanye kaz zinazoendana na ubongo wao ilikuepusha taifa kutawaliwa na vishoka
 
Huyu jamaa ana matatizo mahali! Siyo bure.
 
Uhuru huo huo aliokuwa anautumia TAL mkampa kesi ya UHAINI!
 
hatari inchi imechafukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…