Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya viongozi na wadau wa michezo kutumia vitisho vya kisheria dhidi ya wananchi na wanahabari wanaokosoa muundo na ubora wa jezi za timu ya taifa.

Makonda amesisitiza kuwa Katiba ya Nchi inampa kila mwananchi uhuru wa kutoa maoni na kujieleza, hivyo si jambo la busara kuwatisha au kuwapeleka mahakamani Watanzania wanaosema ukweli pale jezi ya nchi yao inapokuwa mbaya au isiyokidhi viwango.

Waziri wa vijana ni Arthur Nanauka Mkuu
 
Unaunda Tume wakati wewe sio party kwenye mkataba? Makataba ni wa 2023, wewe haukuhusu.
Kwa hiyo mkataba hauwezi kukiukwa hivyo tume kubaini ukiukwaji ..hoja ya mqkpnda ni yq kizalendo ..madai yake jexi hazina ubora ...sasa unataka kutuambia hup mkataba ndiyo umeruhisu jezi zisizo na ubora .. watanzania mna uanithi wa akili.
 
Mahanithi ni ninyi mnaotaka "haki ya maoni" kama huyo Bashite huku wengine wakitekwa na kuuawa kwa kutumia hiyo hiyo haki ya kutoa maoni.
 
Uhuru wa kutoa maoni una mipaka, chunga maoni yako yadiingilie mipaka ya wengine.

Unapotoa maoni yenye muelekeo wa kuharibu biashara ya mtu hapo umekosea, kwa nafasi yake hakutakiwa kutoa maoni kama yale.
 
Makonda amesisitiza kuwa Katiba ya Nchi inampa kila mwananchi uhuru wa kutoa maoni na kujieleza, hivyo si jambo la busara kuwatisha au kuwapeleka mahakamani Watanzania wanaosema ukweli pale jezi ya nchi yao inapokuwa mbaya au isiyokidhi viwango.
Kusema kweli 💤🤔? Kwani Lisu yeye ana kosa gani? Huyu jamaa kama Mungu mtu anavyomtumia naibu wake ni kiburi nakujifanya anamkomesha maana naibu alikuwepo wakati hizo jezi zinazinduliwa huu umungu mtu kauonyesha hata kwa Mrisho Gambo pale Arusha huyu jamaa anependa umwamba kama waziri huwezi kuchkua tuu uamuzi kwamba kampuni ichunguzwe na jezi ni mbaya ilafaa sana Makonda akutane nao maana wanamkataba wenye uhalali kibaya zaidi jezi zilishakuwa designed na printed ina maana yeye kama waziri hakuomba prototype ya hizo jezi kwenye initial stage kwanini anataka kuwaharibia hao Sunderland soko ?
Na ukiangalia tuu desire ya huyu jamaa anaonekana huu ulikuwa mpango wakuwasubiri waproduce afu awaharibie.
Yawezekana ikawa ni mambo ya % inaonekana aliyehusishwa zaidi ni naibu wake Mwana FA na pia yawezekana naibu ndie alinufaika na uzalishaji wa hizi jezi sasa bwana mkubwa hakufurahishwa na hili.
Kama sio nia yake kwanini ana nia yakuingiza vijana mkenge kwenye mkataba halali wakuzalisha jezi?
Kwasasa imani ya wanunuzi imeshuka,Brand ya Sunderland imeshuka nakuchafuliwa,kiufupi wamepoteza resources (nguvu,muda,fedha n.k)
Hizo fedha ni kodi za wananchi.

#Ingekuwa busara sana huu mchakato ungefuatiliwa from the designing stage!
 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya viongozi na wadau wa michezo kutumia vitisho vya kisheria dhidi ya wananchi na wanahabari wanaokosoa muundo na ubora wa jezi za timu ya taifa.

Makonda amesisitiza kuwa Katiba ya Nchi inampa kila mwananchi uhuru wa kutoa maoni na kujieleza, hivyo si jambo la busara kuwatisha au kuwapeleka mahakamani Watanzania wanaosema ukweli pale jezi ya nchi yao inapokuwa mbaya au isiyokidhi viwango.

Mbona tukitoa maoni mnatuteka na kutuua?.
 
Huyuhuyu alisema ukimsema samuya ufungwe, sasa kama kitu ni kibaya wananchi kumbe tunaruhusiwa kutoa maoni?
 
Back
Top Bottom