Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

Kuna mwanasayansi alisema japo yeye siyo kuku wala atagi yai la kuku ila awezi kulq yai viza bila kulijua...hoja yako ni yakianithi ....kutambua nguo mbaya, kuwa ni mbaya hakuitaji hayo unayo sema.

Wewe umetumia kigezo kipi kusema zina ubora ?
Sijasema ni bora au si bora cz sina vipimo sahihi kuthibitisha hilo
 
Taifa stars inataka kugomea mechi, sababu ya ukata wa fedha, Mawaziri wapo busy kugombaniana tenda za jezi...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom