Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

Aliongea mwenyewe, ila alipodakwa anaanza kutumia wingi. Kwamba tusiseme
Anatafuta public sympathy huyu muuaji mkuu wa watumiaji wa haki ya kikatiba ya freedom of expression. Baada ya maji kuzidi unga leo kaikumbuka haki hiyo na kujipenyeza humo wakati yake hayakuwa maoni.
 
Mbona anaweka wingi hapo. Yeye ndy aliosema na sio sisi mbona Sasa anaanza kutia tukisema?.
Then Sasa hivi yeye ndy anajua ni haki ya Kila mtanzania kutoa maoni au ni haki yao wao viongozi kutoa maoni?
 
Hili ndy swali la kujiuliza?
 
Kwa hiyo mkataba hauwezi kukiukwa hivyo tume kubaini ukiukwaji ..hoja ya mqkpnda ni yq kizalendo ..madai yake jexi hazina ubora ...sasa unataka kutuambia hup mkataba ndiyo umeruhisu jezi zisizo na ubora .. watanzania mna uanithi wa akili.
Hata wewe pia unaukhabithi wa kutafakari Kwa kwina na kujibu Kwa hoja.
Yeye ametumia kigezo gani kusema jezi sio Bora?. Au yeye ni TBS? Au kigezo cha yeye kusema jezi sio Bora ni kuambiwa wachezaji wamerudia kuvaa jezi kwenye mechi za afcon. TakatakaπŸ—‘οΈπŸ—‘οΈπŸ—‘οΈπŸ—‘οΈπŸ—‘οΈ
 
Kiufupi Makonda ni binadam mwenye roho mbaya sana Tz ...anaweza akawa namba 1. Matako yake...kumamayo
 
Kuna mwanasayansi alisema japo yeye siyo kuku wala atagi yai la kuku ila awezi kulq yai viza bila kulijua...hoja yako ni yakianithi ....kutambua nguo mbaya, kuwa ni mbaya hakuitaji hayo unayo sema.
 
Kuna mwanasayansi alisema japo yeye siyo kuku wala atagi yai la kuku ila awezi kulq yai viza bila kulijua...hoja yako ni yakianithi ....kutambua nguo mbaya, kuwa ni mbaya hakuitaji hayo unayo sema.
Ndy mana mara nyingi nasema kama watu wataendelea kuzaliwa na akili kama zako basi tujiandae kuwa na taifa la hovyo kuwahi kutokea. Yeye amesema jezi hazina ubora. Sasa kama Kuna mamlaka za kupima ubora na ndy zinatoa kibari kuonyesha hii sio bora na hii ni Bora. Yeye ametoa wapi mamlaka ya kutoa ubora wa kitu ilhali wenye mamlaka na nafasi zao wapo?.
Kama ikiwa unaruhusiwa kusema tu Kwasababu umeona na umefikiria basi hata watu wanao uhuru wa kusema Rais ni mbaya na hafai na hawapaswi kuhojiwa kwanini wamesema hvy
 
Haki ya kutoa maoni bongo? Si bora hata anapelekwa mahakamani!!

Kwani Polepole alifanya kipi kama siyo kutoa maoni tu!
 
Mtu akihusika wenye kutoa roho ya mtu mwenzie(kiroho)moyo wake hupunguza uwezo/nguvu ya kufanya kazi zenye positivity.
Zifuatazo ni list za watu ambao ni punguani ni vile wako na mamlaka katika hii dunia na wengine waliokufa(la hasha maelezo yangu yanaendana na SI KILA ANAYEMILIKI PESA NYINGI NI TAJIRI. Utajori huanzia kwenye afya.)

DONADI
MJANE WA DUNIA
RUTO
MU7
VLADMIR.P n.k
MTUME wa shetani(POW)

Ni vile mpumbavu mmoja atakuja kubisha na kutaka hoja kama haelewi kinachoendelea.
 
Ame
Kwa hiyo mkataba hauwezi kukiukwa hivyo tume kubaini ukiukwaji ..hoja ya mqkpnda ni yq kizalendo ..madai yake jexi hazina ubora ...sasa unataka kutuambia hup mkataba ndiyo umeruhisu jezi zisizo na ubora .. watanzania mna uanithi wa akili.
Ametumia kigezo kipi na kipimo kipi kusema hazina ubora..labda kama yeye anaiwakilisha TBS hapo wizarani
 
Leo ndo amejua katiba imaruhusu kujieleza,sasa kwanini mnateka na kupoteza watu wanapotoa maoni yao
 
Nyie Viongozi wa serikali halamu ndio chanzo kikuu. Yaani mtu akitoa maoni mnamvizia na kumuuwa. Sasa sandaland katumia njia ya haki
 
Yaani ile zero haijawahi kujificha. Sijawahi kumsikia jamaa akifungua kinywa na kuongea bila kuharibu!

Tangu Gwajiboy amlipue huwa najitahidi kumsikiliza nione labda hatimaye atam prove wrong Gwajiboy, lakini wapi, ni uharo after uharo!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…