Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
9,528
Reaction score
24,071
Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.

Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake, wataangalia iwapo kuna uwezekano wa kumchukulia hatua za kisheria mtu anayejiita dudu baya kwa kauli zake chafu na mbovu dhidi ya wasanii wenzake.

Katika kutoa onyo zaidi, alieleza kwamba, ameshangazwa ni kwanini mtu huyo ameendelea kupewa majukwaa licha ya maneno machafu ambayo ameendelea kuyatoa kila mara ashikapo mike.

MY TAKE: Dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.

Cc: Monetary doctor Lamomy cocastic Seran ephen_
 
Back
Top Bottom