Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.

Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake, wataangalia iwapo kuna uwezekano wa kumchukulia hatua za kisheria mtu anayejiita dudu baya kwa kauli zake chafu na mbovu dhidi ya wasanii wenzake.

Katika kutoa onyo zaidi, alieleza kwamba, ameshangazwa ni kwanini mtu huyo ameendelea kupewa majukwaa licha ya maneno machafu ambayo ameendelea kuyatoa kila mara ashikapo mike.

MY TAKE: Dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.

Cc: Monetary doctor Lamomy cocastic Seran ephen_
Mashoga mnakosa raha sana na uwepo wa dudubaya
 
Namshangaa huyu Makonda kwamba sasa hivi anajifanya ku-mind kampeni ya Dudubaya wakati yeye na Kigwangala wakati wa awamu iliyopita walikuwa wanajiamulia tu kutaja na kushughulikia mashoga na watu wa madawa ya kulevya kwa kutaja majina hadharani...
Ningekuwa mwandishi wa habari, ningemwekea clip yake wakati ule RC DSM

Hawa wanasiasa wanabadirika kama mawimbi ya bahari 🙌
 
Yupi kichaa?!

Anayekubali kuingiziwa kipande cha nyama ngumu makalioni au anayewasanua kwamba huo mchezo siyo mzuri haufai?
Dudu baya tangu afirwe na mabaunsa wa mista nice anatamani aliwe tena.
 
Hadi machozi yametoka 😂😂😂😂😂
😂😂😂 unajua watu nawakanda sehemu nyingi, hadi huku uraiani.

Kuna m1 nimemuambia km unajijua hukusoma physics advance, usinijibu katafute wapumbavu wenzio
Kanywea nywiii, 😂😂😂😂

Nafurahi ninavo wakanda, 😂😂
 
Back
Top Bottom